azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

juma nature - iddi lyrics

Loading...

(instrumentals)

[chorus]
mtoto iddi kazua balaa
kijana iddi kazua mikosi
mtoto iddi kazua balaa
kijana iddi kazua mikosi
yuko kama kapandwa na kichaa
anahitaji kurekebishwa
yuko kama kapandwa na kichaa
anahitaji kurekebishwa

[post+chorus]
kuvumilia iddi anachofanya
inategemea mtu na mtu
(?)
kuna wengine hawana masihara

[hook]
wata ‘mletea matatizo asijue wapi pa kukimbilia
wata ‘mletea matatizo usijue wapi pa kukimbilia

[verse 1]
iddi zake michapo, na pamba za kuazima
nyumbani ye hakai, huwa anaishi kama kima
wazazi walio mzaa anawakosea heshima
akirudi nyumbani iddi ananukia pombe
akiuliza umetoka wapi? anasema “dingi usikonde”
na kabla hajaondoka anamkata dingi makonde
anavyo fanya iddi amerithi kwa baba yake
(?) leavyo iddi, baba hivyo sio
atakuja kukamatwa na kesi za mauaji
iddi ukimtazama ni mtoto wa makamo
vibaka wamekamatwa ye mwenyewe akiwemo
wamemfikisha kwa baba yake, kasema “simo”
wamempiga mapanga kujifanya “much know”
anaunguruma na kesi ya k+mdhulumu mr. joseph kusaga
hivi sasa anatafutwa alilipe lile deni alilokopa kwa bwana jo…
ana kesi za uwizi zipatazo ishirini na sita
alivyo na bahati mbaya akikwapua ‘watu wanamshika
wazazi wake mwenyewe ndio juani wanamuinjika
amepoteza nafasi ya kuishi kama soldier
kwani iddi hawezi kula ugali bila mboga
kutwa nzima iddi anakaa kizembe, wamemroga
na tena kuna tetesi w+nga wamekula kiboga
wewe iddi kuwa makini, tabia haifai
utapondwa na marungu uone dunia ka haifai
we nishai, iddi, nishai

[chorus]
mtoto iddi kazua balaa
kijana iddi kazua mikosi
mtoto iddi kazua balaa
kijana iddi kazua mikosi
yuko kama kapandwa na kichaa
anahitaji kurekebishwa
yuko kama kapandwa na kichaa
anahitaji kurekebishwa

[post+chorus]
kuvumilia iddi anachofanya
inategemea mtu na mtu
(?)
kuna wengine hawana masihara

[hook]
wata ‘mletea matatizo asijue wapi pa kukimbilia
wata ‘mletea matatizo usijue wapi pa kukimbilia

[verse 2]
iddi ni kijana mwenye sura ya kibandidu
iddi ni mtoto wa kwanza wa mzee hamidu
ukisema tumseme we, ni kama umemuadhibu
huyu iddi ana laana…
ye kutumwa kwake we ni kama umemuonea
mkimuachia upenyo mnamkuta amepotea
haoni raha kuishi ye na yake familia
katoka na pombe zake tu akirudi +n+lia
anamlilia nani na pombe kanywa mwenyewe
na huu ni ushauri alio upata kwenye vijiwe
mzee anajua ana dharau, kusema lolote liwe
alianza tu kidogo ye kubadilisha bia
kutwa nzima yuko bar, an+z+tiririsha bia
ana subiri wateja walewe aweze kuwaibia
kukamatwa kila wiki watu wameshatega njia
watu wamechukia, nini kinachofuatia?
ni k+mponda na k+mua au mungu k+muokoa
huyu iddi ana laana…
iddi matatani, uwizi kupenya dirishani
wala haishi kwa raha ‘amemuibia na majani?
yeye kila siku kesi tu haziishi mahakamani
(?)
kupita, pita kona ‘naona kundi la watu
wanambeba iddi kaiba viatu vya watu
kisa eti, kisa kauza viatu vya watu
(?)
kama iddi kachukua
(instrumentals)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...