azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

juma nature - sitaki demu lyrics

Loading...

sitaki demu

[verse 1:]
nakuomba usije kwetu ma mdogo utatutia hasara
huyo mdogo w+ngu mwenyewe toka atoke shule hajala
aaaah’ bwana eh usinafate bana, we siukalale uwape mbu faidi bwana
hivi aliye (?) taa humu ndani nani?
kila ukija we nyumbani’ unaondoka
kila ukija we nyumbani’ unaondoka
nimetokea upande wa pili nimeenda kwa kina bashiri
na usije kwetu hakuna kitenge wala kanga
shauri ukija wazazi w+ngu watakuona mw+nga
nak+mbuka ile siku ambayo ulinisemelea’ kwa dingi
ukadai ya kwamba mimi huwa nachanganya mitungi, napenda kula ganja kila siku’ sijivungi
ukaondoka na cheko nyuma ukaacha kivumbi
haya sasa siunaona mwenzio umeniachia zogo
mjeruhi wa simba chui mjeruhi wa mbogo umesababisha hata majirani wananitupia kisogo
tena usinibishie maana nitakupa kidochi >> chi chi chi
tatizo linanisumbua mi sitaki unung’unike wakati unapita wiki mi ndio mie anishike
halafu usineletee zile zako za kike kike
nakuanzia muda huu mi na udhu usinishike
afadhali demu mwenyewe ungekuwa unachunga domo hapo ningejipa moyo kwamba unaelewa somo
tena angalia sana usinizuge na shikamoo aya sasa nimegahiri nenda kwa huyo j+moe
[chorus:]
walimwengu walikwisha niambia kuwa demu w+ngu mimi hafai >> hafai
mimi nikawabishia nikawaona wao kuwa ndio hawafai >> hawafai
lakini sasa mi najuta’ sitaki demu, sihitaji demu ( sitaki demu ) bora nitafute mchumba ( sitaki demu )
sihitaji demu ( sitaki demu )

[verse 2:]
ukimchekea nyani shambani atakusumbua utayavuna mabua na usiombee wenzio kujua’ watakucheka
(?) juu ya mkong’oto nliopanga hata uki w+nga
(?) inaruhusa (?). we kisu++ uliye suswa mpaka ukaamua kuwaambia wenzio kuwa unanirusha, unanirusha!
ukome kunizushia tena usilete za kizushi kwanza nshaacha uhuni unistuki kwa kicherema wala kipande cha mbuni
mkongwe naitwa kiblah mwenye (?) hachunwi’ mradi nshapima nshaonekana sina ngoma, we bado hujakoma!
nimekwambia sitaki demu ukinifatilia nakushtaki
nikitoka hapa nikirudi sitaki kukuona umebaki
kujificha kwenye kabati au kufia andaki msichana gani mhuni kila siku unaongwa laki hata kama ni njaa mama hii hapa imezidi
niache niwe free nimpate yule nnaye mtaka ambaye najua ntatumia muda w+ngu k+msaka
mtoto aliye wa kweli ni (?)
mwenye uwezo wa kuishi kwenye mshelisheli
sitaki demu
hebu huko >> jamani
huyu demu ni mtoto wa mzee mwalubadu yule mzee mfupi anaongoza kwa kufua ngadu
na tena una bahati dada yangu sijakuoa ningekupa talaka (?) na matukio yote we mtu gani muhuni unatambulika njia zote
amba tamba zako bwana unitishi lolote

[chorus:]
walimwengu walikwisha niambia kuwa demu w+ngu mimi hafai >> hafai
mimi nikawabishia nikawaona wao kuwa ndio hawafai >> hawafai
lakini sasa mi najuta’ sitaki demu, sihitaji demu ( sitaki demu ) bora nitafute mchumba ( sitaki demu )
sihitaji demu ( sitaki demu )
[instrumentals:]

sitaki demu

[chorus: repeat]
walimwengu walikwisha niambia kuwa demu w+ngu mimi hafai >> hafai
mimi nikawabishia nikawaona wao kuwa ndio hawafai >> hawafai
lakini sasa mi najuta’ sitaki demu, sihitaji demu ( sitaki demu ) bora nitafute mchumba ( sitaki demu )
sihitaji demu ( sitaki demu )

[instrumentals:]
sitaki demu
sitaki demu
sitaki demu



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...