just a band - kaa ridho lyrics
kaa ridho
kaa chonjo
hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa
kaa ridho
kaa chonjo
hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa
kawaida niko macho ka mbwa ya osama
kwa hivyo nita hama niende yokohama
ju hapa nitazama na watu wananiona tu
na hiyo ni story ambayo nimekata
unataka ku chinja kuku umeshike nail cutter
ama kuua umbu umebeba panga
nairobi ukisleki haki ya nani utatreki
utabaki haucheki uliza thabo mbeki
vile watu wanafanywa wakipelekwa retire
ju akili zao hazi kuwa on fire
tafuta nikipata ni kose ni cheke
lakini nikipata ni yangu
lakini nikikosa sitaweka mkono juu
sema
unfanya nini? unaenda wapi?
we si superman wacha kujifanya hero
unfanya nini? unaenda wapi?
we si superman wacha kujifanya hero
kaa ridho
kaa chonjo
hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa
kaa ridho
kaa chonjo
hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa
kaa ridho
kaa chonjo
hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa
hehe
ushaambiwa mzeiya
uli mwokota kwa bar
pale unaongeza chocolate, maua kwa budget
l-st inatafuta doom
love inajenga home
usikae mpaka late na mzee kobe
uko mbali na nyumbani
ako na yake mgongoni
walkie talkie imechapiliwa
label ya nokia
unauziwa na warranty receipt
nakwaambia-aah
tissue imeisha kwa toile
unatembea hujajipanguza
na uko old newspapers
gazet usi
kuwa mjanja
usijaribu kuresuscitate
nyoka mouth to mouth
bye for now
lakini nisikakupate
kibahati bila
unfanya nini? unaenda wapi?
we si superman wacha kujifanya hero
unfanya nini? unaenda wapi?
we si superman wacha kujifanya hero
kaa ridho
kaa chonjo
hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa
kaa ridho
kaa chonjo
hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa
kaa ridho
kaa chonjo
hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa
kaa ridho
kaa chonjo
hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa
kaaa-aaaa
kaaa naanaa naaana
kaa ridho
kaa chonjo
hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa kaa ridho
kaa chonjo
hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa
kaa ridho
kaa chonjo
hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa kaa ridho
kaa ridho
kaa chonjo
hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa kaa ridho
Random Lyrics
- anita doth - universe (believe in yourself) lyrics
- tg millian - wicked and wass lyrics
- e-40 - dennys lyrics
- lildrughill - luv me lyrics
- d9rty nine - daughterfuckers lyrics
- витя ак (vitya ak) - еду в ленинград (on the way to leningrad) lyrics
- evil superstars - it's a sad sad planet lyrics
- the kentucky headhunters - my gal lyrics
- baghira - 3 bricks (remix) lyrics
- mohsen chavoshi - hamrahe khak arreh (along with the saw dust) lyrics