jux - fimbo lyrics
kwanza kabisa thanks to the lord (to the lord)
uzuri wako sio wa kudownload(wa kudownload)
unanishangaza kila siku me sichokii.
mwingine kama wee me sitakiiii.(tururutum tum)
wewe ndo fimbo yangu baby (tururutum tum)
ongeza raha zaidi mamy (tururutum tum)
nikuweka tu kabisa ndani (tururutum tum)
kw-ngu wewe ndo burudani (tururutum tum)
wewe kiboko yangu baby (tururutum tum)
ongeza utamu zaidi mamy (tururutum tum)
ni wewe tuu tuu baby.ni weweee eeehh…
i’ll give you everythinggg …yeeeah
(unanivuruga we)…i’ll give you everything…(unanivuruga)…
i’ll give you everything thing darling…
(unanivuruga we)…i’ll give you everything…(unaivuruga)…
nitafunga moyo w-ngu sitoki, funguo nakukabidhi wee,
nitakupa muda w-ngu na noti, chochote unachotaka wee,
i’ll give you everythinggg… eeeeh
(ayyaaaa aaah ayyahhh…)
una rangi ya chocolate, magnetic, romantic,
jinsi ulivyo humble baby, so s-xy, wanivuta zaidi,
kurudi nyumbani late me sitaki, (kurudi nyumbani late me sitaki)
sababu nina wivu moyoni ukiwa mbali (sababu
nina wivu moyoniii… yeeeeeeaahh… eeeeeeeh)
(tururutum tum)
wewe ndo fimbo yangu baby (tururutum tum)
ongeza raha zaidi mamy (tururutum tum)
nikuweke tu kabisa ndani (tururutum tum)
kw-ngu wee ndio burudani(tururutum tum)
wewe ndo kiboko yangu baby(tururutum tum)
ongeza utamu zaidi mamy(tururutum tum)
ni wewe tuu tuu baby… ni weweee eeeeeh…
i’ll give everythingggg… yeah. (unanivuruga we)…
i’ll give everything…(unaivuruga)…
i’ll give everything darling…
(unanivuruga we)…i’ll give everything… eeeeeh
nitafunga moyo w-ngu sitoki,
funguo nikukabidhi wee,.i’ll give everything,
nitakupa muda w-ngu na noti,
chochote unachotaka wee.i’ll give everything… yeeeeahh
(unanivurugauga eeeeh unanivuruga vuruga we …)
…end…
Random Lyrics
- arctic monkeys - american sports lyrics
- dadang nekad - cerita cinta lyrics
- cilla black - on a street called hope lyrics
- indra al firdaus - kuasa illahi (feat. ust. riza muhammad) lyrics
- shawn mendes - badass girl lyrics
- go vacation - u. f. o. lyrics
- skepta - ace hood flow lyrics
- lozano - kilometri lyrics
- smrtdeath - caught up lyrics
- zedd - illusion (feat. echosmith) lyrics