jux. - kitanda lyrics
najua kunielewa itakua ngumu mmh
ila sikupanga nikukosee
mbaya zaidi unanihuk+mu mmh
ungenipa nafasi nikueleze
najua nina makosa kwasababu mm binadam
vitu vyako vinanitazama kama vile masanamu
kwamba ata shika yako simu nipate j+po salamu
kabla jua kuzama mama naomba ata tabasamu
kabla tu huj+panda kwa kitanda
tuelewana mama
kabla tu huj+panda kwa kitanda
tupatane
kabla tu huj+panda kwa kitanda
tuelewane
kabla tu huj+panda kwa kitanda
tupatane
tupatane (tupatane mama)
tuelewane (tuelewane)
baby tupatane ( tupatane mama)
tuelewane (tuelewane)
tofauti ya kwamba nakupenda
nitaweka wapi sura yangu
mana dunia nishaiambiaga we wa mwisho kw+ngu
si waajua kwamba nimezoea
ninapolala uwege kando yangu
nishaanza dunia kuiona ya uchunguu
punguza hasira tusipate hasara
shusha silaha tuzungumze
najua nina makosa kwasababu mimi binadam
vitu vyako vinanitazama kama vile masanamu
naomba shika ata yako simu nipate j+po salamu
kabla jua kuzama baby naomba ata tabasamu
kabla tu huj+panda kwa kitanda
tuеlewana mama
kabla tu huj+panda kwa kitanda
tupatane
kabla tu huj+panda kwa kitanda
tuelеwane
kabla tu huj+panda kwa kitanda
tupatane
tupatane (tupatane mama)
tuelewane (tuelewane)
please baby don’t go
naomba tuyamalize
mama isifike ata usiku
you know i love you baby
naomba tuongee taratibu
husinifokee
yote yaliotokea usitafsiri vibaya
am sorry baby
Random Lyrics
- jacques - ça se voit 2.0 lyrics
- pitbull - powerful woman lyrics
- mc kresha & lyrical son - rebele ft. ledri vula lyrics
- jonathan zelter - allein lyrics
- kill the lights - sleep with the devil lyrics
- intocable - sin morir (no puedo) [bonus track] lyrics
- yokai kage - neighbourhood tribe lyrics
- edgar oxford - um duelo qualquer lyrics
- fnl (firsgt name last) - sum lyrics
- mister nice - душу забирает (takes your soul) lyrics