jux. - nidhibiti lyrics
verse 1
una hali gani unayefanya moyo w+ngu unadadarika
niko taabani umeniacha dakika mbili tu nishaboreka
umeniweka rehani changu kiwiliwili moyo umeuteka
umeniathiri honey nshaaribika mbaya kwa yako makopa
kama mapenzi kitabu ungekuwa kurasa ya katikati
ukichanwa wewe stori haiendelei
aaaah nakupenda mpaka adhabu baby nahisi kuna hatihati
ukiniacha wewe walahi mimi sitoboi
bridge
honey honey (honey) w+ngu wa ubani bani
mimi ndege wako sa manati ya nini
nakupa ruhusa weeee!
chorus
nidhibiti nidhibiti nidhibiti
nakupa ruksa weee!
nidhibiti nidhibiti nidhibiti
verse 2
ewee baby eweee baby mke w+ngu mume w+ngu
mimi na wee hadi milele
ooooh mbivu ziwe mbichi ni vya kwetu sisi sijali nisharidhia
yayaah
wabaya wanafiki watafute viti wakae kwa kutulia hayaaa
upendo kwetu faradhi umepita tsunaa
rabiii atuhifadhi mpaka kufika chanaa
na mimi kwako ni radhi kufa kuzikana
waambie wavunje n+z+ si tumeshindakana
bridge
honey honey (honey) w+ngu wa ubani bani
mimi ndege wako sa manati ya nini
nakupa ruhusa weeee!
chorus
nidhibiti nidhibiti nidhibiti
nakupa ruksa weee!
nidhibiti nidhibiti nidhibiti2
Random Lyrics
- jeilani - love lyrics
- kwe - take it to the chin lyrics
- guaxinjm - te querer lyrics
- atley - no wings lyrics
- nicholas torres (us) - deli (nick’s edition) lyrics
- teezandos - artist lyrics
- ekko astral - baethoven lyrics
- ceyion - each one teach one lyrics
- zotiyac - human centipede freestyle lyrics
- mol$ & djmegan23 - send em up 2 heaven lyrics