
jux. - si mimi lyrics
[intro]
heyyyy yee
yeyi yeee
[verse 1]
eh nitazunguka dunia
nitangaze sifa zako, uzuri wako
siwezi fanya siri
wanibebeshe gunia
na zote dhambi zako, sumu yako
imetawala mwili
[pre+chorus]
si mimi
ni akili yangu
si mimi
ni moyo w+ngu
si mimi
ni mawazo yangu
si mimi
labda roho yangu
[chorus]
mimi bila we
mimi bila we
mimi bila we
si bora waniuwe
mimi bila we
mimi bila we
mimi bila we
si bora waniuwe
eeeehh
oooh
aaah
[verse 2 ]
we ndo daktari
mponya maradhi, yani kama zali
zali la mentali
nakupenda kweli
hilo liko wazi, jua ukinitupa
utaniachia simanzi
[pre+chorus]
si mimi
ni akili yangu
si mimi
ni moyo w+ngu
si mimi
ni mawazo yangu
si mimi
labda roho yangu
[chorus]
mimi bila we
mimi bila we
mimi bila we
si bora waniuwe
mimi bila we
mimi bila we
mimi bila we
si bora waniuwe
Random Lyrics
- harle - gemini lyrics
- smkkpm - karty z magica lyrics
- hiperbolė - vėjo baladė lyrics
- oliverandes - el sonido lyrics
- fur (aus) - high side lyrics
- lil dexter - rosas lyrics
- vytautas kernagis - gimtadienis lyrics
- 倖田來未 (kumi koda) - lalalalala lyrics
- hoodadk4 - dele fooladi lyrics
- fripside - infinite synthesis lyrics