jux. - sina neno lyrics
ayeeeaaa yeee
ayeeeaaa yeee
ayeeeeeee
naona wameremeta
ngozi imenawili, una furaha now
kitanda hakina siri
zao la tendo, una kitumbo wow
mnapendezana
penzi liko kasi kasi
mkipostiana
instagram status
tushafunika kurasa
mambo ya zamani, yalishapita
maisha mengine sasa
kuwa na amani, hakuna vita
pre+chorus
siiikuchukii nakuombea
maisha mema ya furaha, mungu aoneshe njia
siiiumiii nimezoea
ila na furaha, kuiona familia
(aaaah aaah)
niko salama, mimi sina neno. (aaaah aaah)
utaitwa mama
mtoto mpe upendo (aaaah aaah)
niko salamaaaa, mimi sina neno. (aaaah aaah)
utaitwa mama
mtoto mpe upendoo (aaaah aaah)
uuuuuuuh
iyeeeeee yeee
iyeeeee yeee
iyeeeee yeee
najua unayo furaha
kwa zawadi uliopata
tena ulivyoshujaa
mtoto mama amepata
na nyie msije gombana
mtoto akapata kashi kashi
vizuri kuvumiliana
matatizo mkaya discuss
tushafunika kurasa
mambo ya zamani, yalishapita
maisha mengine sasa
kuwa na amani, hakuna vita
pre+chorus
siiikuchukii nakuombea
maisha mema ya furaha, mungu aoneshe njia
siiiumiii nimezoea
ila na furaha, kuiona familia
(aaaah aaah)
niko salamaaaa, mimi sina neno. (aaaah aaah)
utaitwa mama
mtoto mpe upendo (aaaah aaah)
niko salamaaaa, aaaaaah aaah. (aaaah aaah)
utaitwa mama
mtoto mpe upendoo (aaaah aaah)
Random Lyrics
- tyr (nor) - bundet til en by lyrics
- beyries - vallées lyrics
- 1 trait danger - madonna lyrics
- jakob busch - frieda lyrics
- hulder - veil of penitence lyrics
- nikhil gangavane - angel lyrics
- vüqar kamiloğlu - dön gəl lyrics
- keyshia cole - heaven sent (remix) (new song page) lyrics
- travis bradbury - colors in the dreamweaver's loom lyrics
- lown - peine rose lyrics