azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jux. - slowly lyrics

Loading...

ahuu, ahu ah, ahuuu
ahuu, ahu ah, ahuuu
ahuu, ahu ah, ahuuu
ahuu, ahu ah, ahuuu

ah unanipaga muda
ukicheza baby
na unafanya makusuda
ah unajua wewe

tell me what to do
sijiwezi wewe
na hakuna wewe tu
nataka kucheza na wewe

when i see you (aaaah)
nachoka kabisa when i see you (aaaah)
i go crazy when i see you
nadata kabisa when i see you

baby when i see you (aaaah)
nachoka kabisa when i see you (aaaah)
crazy when i see you
napanda na kichaa aah

babe i wanna see you dance
slowly, slowly
hey i wanna see you moving
slowly, slowly
mama i wanna see you dance
slowly, slowly
aah i wanna see you moving
slowly, slowly
love, nichanganye kabisa mama mi ni wehuke
nikuwaze tu wewe wengine nisik+mbuke
nigande kama ruba mimi nisibanduke aah
visenti vyangu vyote nilivyonavyo nikupe wewe

unaniumiza, unavyocheza slomo
unaniumiza unavyokata kiuno

baby come slowly
napenda unavyonipa
nipe polepole
mwenzako nachizika aah

baby come slowly
napenda unavyonipa aah aah
nipe polepole
mwenzako nachizika iyee baby

slowly, slowly ah taratibu
slowly, slowly mama mama ma taratibu
slowly, slowly i wanna see you dance
mchezo mama ma
slowly, slowly

kidogo taratibu mimi na wewe
kidogo uko tu wewe mwenyewe
kidogo taratibu mimi na wewe
kidogo uko wewe tu mwenyewe
kidogo taratibu mimi na wewe
kidogo uko wewe tu mwenyewe
kidogo taratibu mimi na wewe
kidogo

hey i wanna see you dance
slowly, slowly
mama mama ma
slowly, slowly
oooooh

slowly, slowly
aah aah
slowly, slowly
taratibu mama



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...