jux. - tell me lyrics
[intro: jux & joh makini]
yeah ( okay )
shawty
(yeah yeah yeah yeah )
lemme talk to ya
(s2kizzy baby )
[verse 1: joh makini]
ay’ nisipokula na wewe huu mkwanja sasa ntakula na nani? sinaga huo ujanja kwako
ni jengo sio tena kibanda, awali side chicks wote walishasanda kwako
kula ndizi bila maganda, muhanga mimi nishajitoa kitambo sikazi kwako
kwa mungu na si kwa mganga, njoo tupige goti baraka zimetanda hapo
[verse 2: jux]
nisipo kupenda wewe, ntampenda nani? mh mh
leo kazi sina, nina kazi nyumbani, yeah yeah yeah
ntapika ule w+ngu mwandani, mh mh mh
na ndoto yangu, uyatoe ya ndani mama
oh waah
[bridge: jux]
tuende jambiani, au tuende serengeti mbugani
oh baby, lushoto milimani, usijali kwani pesa kitu gani
tuende jambiani, au tuende serengeti mbugani
oh baby, lushoto milimani, usijali kwani pesa kitu gani
[chorus:]
tell me something
tell me something
tell me something
tell me something, baby
[verse 3: jux]
naacha mambo yote maana najisikia mfalme mjini, ( woah woah )
wanipa vitu vyingi hata sijui nikupe nini ( woah woah )
tuna mali, tuna mungu na pia tuna nia’ tunaishi ndoto zetu wakitushuhudia
na unanifaa ah
moyoni umenikaa kama nini, pale najikwaa ah
(ma (?) yajiende chini )
oh waah
[bridge: jux]
tuende jambiani, au tuende serengeti mbugani
oh baby, lushoto milimani, usijali kwani pesa kitu gani ( yeah yeah yeah)
tuende jambiani, au tuende serengeti mbugani
oh baby, lushoto milimani, usijali kwani pesa kitu gani
oh waah
[chorus: jux & joh makini]
tell me something, ( niambie kitu, niambie kitu, niambie kitu )
tell me something, yeah yeah ( niambie kitu, niambie kitu, niambie kitu )
tell me something, ( niambie kitu, niambie kitu, niambie kitu )
tell me something, baby
[outro: jux]
tuende >> tuende
tuende >> tuende
tuende >> tuende
tuende >> tuende
Random Lyrics
- yungbc - both ways lyrics
- shy birds - signs of life lyrics
- id:earth - every morning lyrics
- barion - forks of forks lyrics
- thomas gold, harrison & hiio - take me home lyrics
- summit international school of ministry - thick and thin (live) lyrics
- mariway - walk wit me lyrics
- afraid of the dark? - dd lyrics
- discharge by death - secret years lyrics
- thundakydsarri - sport + lyrics