azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jux. - unaniweza lyrics

Loading...

abbah
[verse 1: jux]
pindi ukicheka we, mi moyo unanitabasamu
huwa mwenye kujihisi mororo
ila ukilia wee, hata kula nakosa hamu
huwa mwenye kujihisi mdororo

[hook: jux]
ukiwa karibu na mie, najiona bora
lakini ukiwa mbali, baby, baridi linachoma
uwepo wako we na mie, umetia fora
we ndio dakitari, darling, nikitaka kupona

[bridge: jux]
unaniweza weza x4

[verse 2: jux]
sitamani mwingine, wala sidhani ka ataweza kutokea
maana mambo yako moto moto, moto
labda upite ushetani mwingine, maneno ya watu nishazoea i don’t care
kila kukicha choko choko, choko
unavyonipa raha, ndiyo nanepa mie
penzi lako natinga, navimba nabembea
kinachokufaaa, usisite niambie
kwako niko radhi hata zege nibebe, machinga nidadishee

[hook: jux]
ukiwa karibu na mie, najiona bora
lakini ukiwa mbali, baby, baridi linachoma
uwepo wako we na mie, umetia fora
we ndio dakitari, darling, nikitaka kupona

[bridge: jux]
unaniweza weza x4
unaniweza weza, i do it for love
for love
unaniweza weza, i do it for love
for love
unaniweeeza

abbah



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...