jux. - uzuri wako lyrics
[intro]
oh, ooh
oh, ooh, yeah, yeah
(a.m. records)
oh, ooh, woah, woah, woah
[verse 1]
nikiwa nawe matatizo nasahau
kwa washika dau, pesa zao na dharau
hakuna kama we, ‘toka mwanzo mpaka now
niko mimi na wewe, huna mpango nao
mapenzi unayo nipa (ah, ah)
yaani mpaka najiuliza
hivi unaigiza, ‘maana mi nakufa kabisa, ah+ah+ah, ah+ah+ah
napenda nikikushika wave
napenda nikikushika
napenda nikiku+kiss mdomoni
you’re my baby girl
[chorus]
uzuri, uzuri wako (uzuri wako)
uzuri, uzuri wako (uzuri wako)
uzuri, uzuri wako (uzuri wako)
uzuri, uzuri wako wewe (unanifanya nilie)
uzuri, uzuri wako (uzuri wako), yeah
uzuri, uzuri wako (uzuri wako)
unanifanya nilie, yeah
uzuri, uzuri wako (uzuri wako)
uzuri, uzuri wako wewe
[verse 2]
walisema mapenzi, haiwezi kuwa mimi nawe (mimi nawe)
tukaona ushenzi, ni bora mimi nikuoe (nikuoe)
isifike mwisho, ukaniona mimi sifai (mimi sifai)
wanatamani kesho, unimwage wakuwahi (wakuwahi)
[pre+chorus]
wana chuki na visa na zao roho
wanasema sifai kuwa nawe
ah, wakija na pesa, ‘we sema “no”
nakupenda, unanipenda wewe
wana chuki na visa na zao roho (yeah)
wanasema sifai kuwa nawe (yeah)
wakija na pesa, ‘we sema “no”
nakupenda, unanipenda wewe
[chorus]
uzuri, uzuri wako (uzuri wako), woah
uzuri, uzuri wako (uzuri wako), uzuri wako wewe
uzuri, uzuri wako (uzuri wako), yeah, yeah
uzuri, uzuri wako wewe (unanifanya nilie)
uzuri, uzuri wako (uzuri wako), yeah
uzuri, uzuri wako (uzuri wako)
unanifanya nilie, yeah
uzuri, uzuri wako (uzuri wako)
uzuri, uzuri wako wewe
unanifanya nilie
[hook]
na+na+na
na+na+na, (woah, woah)
nikiwa na wewe, haufanani na (na)
haufanani na (yeah)
haufanani na
woah, woah, woah, woah, woah, woah
(nikiwa nawe haufanani nao)
haufanani nao (yeah)
haufanani nao (yeah)
nikiwa na wewe, haufanani na (yeah)
yeah
haufanani na+, yeah
nikiwa nawe (baby hufanani nao)
[chorus]
uzuri, uzuri wako (uzuri wako), woah
uzuri, uzuri wako (uzuri wako), uzuri wako
uzuri, uzuri wako (uzuri wako), baby; yeah, yeah
uzuri, uzuri wako wewe (woah, woah, woah, woah)
uzuri, uzuri wako (uzuri wako), uzuri wako wewe
uzuri, uzuri wako (uzuri wako)
hey
uzuri, uzuri wako wewe
uzuri, uzuri wako (uzuri wako)
yeah
uzuri, uzuri wako wewe
thank you, [?]
uzuri, uzuri wako (uzuri wako)
[?]
uzuri, uzuri wako (uzuri wako)
a.m. records
uzuri, uzuri wako (uzuri wako)
ka[?]
uzuri, uzuri wako (uzuri wako)
[?]
uzuri, uzuri wako (uzuri wako)
i love you, baby
uzuri, uzuri wako (uzuri wako)
mmm, woah, woah
mmm, yeah
(uzuri, uzuri wako wewe)
(instrumentals)
Random Lyrics
- the fabled fallen - love morbid lyrics
- israel houghton & new breed - in jesus name lyrics
- ceefourr - idgaf lyrics
- taperecorder - denmark lyrics
- melisses - μοναχική καρδιά (monaxiki kardia) lyrics
- luiz gustavo e gustavo daniel - só humanos lyrics
- ira! - hei tyttö lyrics
- nay 374 - muthafucka lyrics
- dj дамян и емануела (dj damyan & emanuela) - окадар (okadar) lyrics
- no mana - i contain flashing images lyrics