azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jaguar & sudi – barua kwa rais lyrics

Loading...

1 [jaguar,
najua sio rahisi, kukuona rais
lakini twajivunia kuwa wakenya
tw-toka kijiji cha mbali, mbali kisicho na hadhi
lakini twajivunia kuwa wakenya
barua tw-tuma na baiskeli, hivi mpaka lini
lakini twajivunia kuwa wakenya
hata hizo habari hazitufikii
juu hatuna redio, wala tv
lakini twajivunia kuwa wakenya

tunatamani tukuone, tukuone
tukuone, tukuone rais
ili si na we tubonge, tubonge
tubonge, yanayotusonga sisi

hata mvua haijanyesha mwaka jana
mifugo yetu nayo imekosa nyasi
chakula cha msaada, hakitufikii
mke w-ngu naye alizalia njiani
sababu huku hospitali iko mbali
na ni moja tu
hata li gari

watoto wetu huku pia elimu shida
elimu ya bure mahitaji yanatushinda
kaka yangu alokuwa tegemeo
kapoteza miguu lamu siku ya tukio
lakini twajivunia

tunatamani tukuone, tukuone
tukuone, tukuone rais
ili si na we tubonge, tubonge
tubonge, yanayotusonga sisi

najua sio rahisi, kukuona rais



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...