azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

k-hood hoodboy - champion lyrics

Loading...

verse 1

go hard go hard aim higher
na sichaguagi kazi sioni haya
utatimiza ndoto zako au malengo yako
as long as to we ufanye yako
waweza kuwa kama sister lupita nyongo
waweza kuwa kama desmond tutu
waweza kuwa kama moringe sokoine
champions wa africa ni mwalimu nyerere
na mandela kijana tafuta hela
piga mishemishe mjini dar upate kula
na heshima itakuja tu baada ya mpunga
na nibaada ya kijituma sirudi nyuma
mama kanambia kijana w-ngu skia
kidogo unachopata tunza kitakusaidia
pili kuwa na heshima tatu usidharau
kwa sababu champion huwa hajisahau

hook – chelsea davis
am going hard tonight
ama winning the fight
because i’m a champion champion
uuu yeah

verse 2
mungu akupe nini kakupa kila kitu
akili nguvu afya pia ujasiri
kwani usipige kazi au umeadiwa gari
na mumy au dad ndo ulete jeuri
am a champion ka filbert bay
am a champion kama mzee wa uhuru kenyatta
am a champion kama wngari mathai na
sirudi nyuma limit be the sky
oliva mtukuzi sign of a champion
na lady jay dee comando quuen champion
malengo yanatimia kujituma kuamini
sabu bila yeye hufiki mbali baba wa mbinguni
ishi maisha yako upuuz usi entartain
kuna wajinga wametuma kutushusha chini
na amini usiamin tutabaki juu
sab hakuna kinachoshindikana kwake ye aliye juu



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...