k master & spince seseme - ringa nengua lyrics
intro
spince seseme
let me introduce my business men ..ilala zone family madonta
eyoo k seseme family madonta., viva conscious..seseme dar-es-salaam stand up
verse 1 : k master
unasimama kama tangazo lilowekwa front page
sitokata ma boda bali nashusha mabegi
eheheh nashusha mabegi heeeeee nashusha mabegi
ma bi o l.to the v.o nipo kama sipo
watu wajae people, kama asieenda kasha nikiwa na mzigo
mbele ya macho yangu ameruka kama eagle
nipo kiseruseru pote upo peruperu
unapokuja ghetto ghero nipo hoi beru beru
aaah nipe kiss nipe love nipe hug ahhh
keep ma jampe no stumpe nipe love ahhh
aaaaah aaahh ma mdogo wenzako wapo chali ushawapiga matobo
aaaaah aaahh ma mdogo wenzako wapo chali ushawapiga matobo
chorus” spince seseme
ringa nengua ringa nengua wakati ndio huu mama
ringa nengua ringa na nengua heeee wakati ndio huu mama
ringa nengua ringa nengua wakati ndio huu mama
ringa nengua ringa na nengua heeee wakati ndio huu mama
verse 2 : k master
k master na bang out bang out nikiwa nawe na bang out
k master na bang out bang out nikiwa nawe na bang out
unaji update ila star siuwawi
una mtambo flani wakudedisha wachawi
ni kama uwoya kwenye movie ya oprah
nikama tunda kwenye jangwa nimeokota
mi na we j-po hawataki tu yawe
h-llo baby, yes baby come baby basi shake baby
aaaah nageuka adam kwenye eden yako
deni lako ,kitchen na party yako
nageuka cheni kwenye shingo yako
vibaka wakipora hio ni pain kwako
no lieing hizi spidi usi trying..
maradhi yapo mengibe care uta die
chorus” spince seseme
ringa nengua ringa nengua wakati ndio huu mama
ringa nengua ringa na nengua heeee wakati ndio huu mama
ringa nengua ringa nengua wakati ndio huu mama
ringa nengua ringa na nengua heeee wakati ndio huu mama
verse 3 : viva conscious
we ni one ,last and second
african girl you are mine basi deka
yeh you are everything i have
everything i do i do for you my love
rusha mikuki mapenzi lukuki
mapenzi tuki .bado mi mswahili sina chuki
nipe raha africa bambataa
acha waponde mi mshale wa sekunde wee wa saa
Random Lyrics
- navajo - roll up lyrics
- goo goo dolls - say you're free lyrics
- g-eazy - luvaholic lyrics
- john doe (rap) - ∅ 16 lyrics
- cheryl - everyone lyrics
- egotrippi - valta naisille lyrics
- rellamar - greatness lyrics
- mariachi vargas de tecalitlan - el niño perdido lyrics
- marco hietala - ensimmäinen joulu lyrics
- melanie - together alone - 2049488 lyrics