k son rap - mitaa nayotokea lyrics
[intro]
where the street life y’all at?
ha, ha
yeah, let’s go
mitaa nayotokea..
tumezaliwa uswazi sogodo ndani ndani hakuna familia inayojua uzazi wampango nyota ya kijani..mateja wamejaa chimpumu gongo na komoni..saa saba mchana huwezi kukatiza uchochoroni..mangi ukijitusu watu wanakula mtaji unarudi kwenu kibororoni..hakuna maendeleo utasema enzi za mkoloni..hakuna cha mswalie mtume huku wala msaada kwenye tuta..dingi na mtoto wote tu mapusha..watu w+n+loga iba hata ndala tu wakutoe tu mabusha..kipo huku cha mtema kuni kila godoro linakunguni..kila mtoto ameshapinda akuna anaecheki cartoon..ni magheto ya wahuni hakuna anafata kanuni..passport size hakuna anaekwenda bafuni..wote ni marasta wana vuta tu maganja hakuna anaekwenda saloon..hakuna aliestaharabika kama unakinyaa unaweza ukatapika..hakuna hata taa muda wote umeme umekatika..patashika ukikamatwa na polisi hakuna wakukuwekea dhamana..madogo shule wamebana..ukifanya kosa unapigwa kama mwizi..njia panda watu wanavunja n+z+ mchana hakuna hata hajizi..wazee wakutoa kafara wamezivaa irizi..kama sio ndondocha mlangoni wameweka chizi..
Random Lyrics
- pleven - timidité lyrics
- t@ - dreaming lyrics
- moe gee - deal lyrics
- luke hennisch - brain teaser (trapped in my mind) lyrics
- im yoonseong (임윤성) - howling lyrics
- igbomane - 0 bappin needed lyrics
- parni valjak - mi smo rock and roll band lyrics
- seven binks - hermano lyrics
- busta 929 - idlozi lyrics
- bandit - goonies (i only tolerate you) lyrics