k son rap - sitabiriki lyrics
nimebobea kwenye beat kama rap scala..bongo nai to kampala..natisha nipo very deep kama ziwa chala..ngumu ku impress hii medula..hii mistari hela n+z+gawa kama bank taller..siitaji wakunimanage sio tale wa fela..king of best melody kama bella..nachimbua rap archeology sina peace na mawaki nimewatupa jela..zingatia itifaki uhuru ni wa bendera..waliosema watadumu wapo hoi kwenye machela..n+z+di kuyatupa makombora..africamashariki mkokenya mkombola..kada kwenye chama zaidi ya pala..natawala…hizi level hawafiki wafupi kama mwala..hili chimbo hasmati ameyatimba rockarfella..leo umenikuta kwenye ubora..kwenye chati kama dollar..thriller in manila..pisha kwenye barabara nimejaza vina kama abiria kwenye daladala za mbagala..hauna stamina kiuwezo wao bado nikabwela..dula makabila..nawacontrol kama drug dealer..mi ndo silent k!ller..sio mikwara wasaliti nawatoa tu kafara..mwendokasi ruti ndefu kama mbezi ya kimara..a luta continua.. nilipotoka ni majanga na misala
Random Lyrics
- gerald a madár - found my place lyrics
- dominic behan - it's a grand old country lyrics
- mekons - beaten and broken lyrics
- all the luck in the world - sidecar lyrics
- kubus (cz) - love sick lyrics
- dj 2sk00pz - rave party lyrics
- arjin ulaş - anahtar lyrics
- none nsr - antes de partir lyrics
- levi de paula - encontro eterno lyrics
- maimymayo - onslaught with lyrics lyrics