![azlyrics.biz](https://azlyrics.biz/assets/logo.png)
k son rap - wanapenda (ft. bundi skrt) lyrics
wanasema wanapenda nikirap../wanapenda kuskia kwenye interviews nikichana capella mbona fresh tu../siongei sana kama chiriku..kirikuu..kila siku tuna party kama sikukuu../scoobydo..wapenda kuniskia kwenye radio stereo../ wanapenda kuniona kwenye video..wanapenda navyoflow..kama chid go..chid soo mad flow.. kad go../wanapenda penda navyo score..kwenye stage kwenye show..wanapenda nikipewa ata collabo../mpaka majogoo yani kama dingo jungle..watu w+ngu wanapenda navyo shine wananipa tu michongo../wanao hate sina hata kinyongo..mkinibana fan’s wataandamana na mabango..yote nisababu ya mapendo../
wanapenda navyospit..wanapenda navyonata juu ya beat../kama nyani juu ya miti..wanapenda harakati..wote tunapenda haki../naipenda africa..naipenda ngozi nilivyo black../i do it for the love kama pac..hatua kama nyati../nawapenda mashabiki..naipenda hiphop inapendwa rais../huu upendo ni wadhani bila chuki..paparazzi wananapenda info zangu kila siku kwenye front page../wanapenda kuniona kwenye stage..only god can judge../wanapenda na vyoswitch kilasiku naji upgrade../
Random Lyrics
- sunsleeper - blemishes lyrics
- various artists - アイデンティティ (identity) lyrics
- kesari (ost) - तेरी मिट्टी lyrics
- keagan hoffman - bad dreams lyrics
- janji yusuf - one more night lyrics
- dennis robbins - good news, bad news lyrics
- luhbody - past the light lyrics
- razortick - james dean (demo) lyrics
- itro - lalala lyrics
- el maleante - sube el volumen lyrics