![azlyrics.biz](https://azlyrics.biz/assets/logo.png)
ka$h kaaria - nafsi lyrics
[verse 1]
mawazo
mawazo mengi zimenijaza
mpenzi
mpenzi ulinitoroka
maelezo
maelezo mengi mi nataka
jamani unataka nini kw-ngu
[chorus]
dakika
dakika nyingi zimepita
hakika
wewe hujabadilika
dakika
dakika nyingi zimepita
hakika
wewe huna nafsi yaani
huna na nanana huna na huna nafsi
huna na nana huna na huna nafsi
[verse 2]
niliomba yote yatakuwa ndoto kw-ngu
niamke kando yako nikitabasamu
lakini huna utu wewe fisi
banange unataka nini kw-ngu
[chorus]
dakika
dakika nyingi zimepita
hakika
mimi nimebadilika
dakika
dakika nyingi zimepita
hakika
wewe huna nafsi yaani
huna na huna na huna na huna nafsi
huna nafsi
[interlude]
kosa langu ni kukupenda
bila kujali ulichotenda
kizuri chajitokeza
kibaya chajitembeza
tembea
[chorus]
dakika
dakika nyingi zimepita
mashida zimebadilika
dakika
dakika nyingi zimepita
hakika
wewe huna nafsi yaani
huna na huna na huna na huna nafsi
wewe huna nafsi yaani
huna na huna na huna na nafsi
Random Lyrics
- david yazbek - tangled lyrics
- ickarus - resto in piedi lyrics
- azurit kingdom - párty lyrics
- summer camp - fighters lyrics
- weyes blood - a certain kind lyrics
- harbor & hexpir - troisième oeil lyrics
- maria voskania - unendlich frei lyrics
- gnags - rutebilens bumpen lyrics
- caterina caselli - tutto da rifare lyrics
- robby atkins - taxes lyrics