kahu$h - shenzi type lyrics
kama we mropokaji, type ya mfa maji
si mfikishaji, mademu hawakuhitaji
kama we mzamiaji bia hununuagi
sasa leo umekanyaga show utaambulia maji
twende juu twende chini, shikibee
iwe huku au kule, mukidee
leta bata leta kuku, tushibee
tuna madeni, poa tulipee
mi raisi wao
raisi wao, raisi wao, raisi wao
kiboko yao
kiboko yao, kiboko yao, kiboko yao
wazamiaji, shenzi type
wakina dada wadangaji, shenzi type
waropokaji, shenzi type
wakina kaka wapigaji, shenzi type
wazamiaji, shenzi type
wakina dada wadangaji, shenzi type
waropokaji, shenzi type
wakina kaka wapigaji, shenzi type
oya wasanii mimi naitwa madee
nasikia nyie wengine sio vioo vya jamii
oya wasanii mimi naitwa madee
nasikia nyie wengine sio vioo vya jamii
mnagombana aha, mnachukiana aha
kuna wengine mpaka mnarogana ahaaa
kina baba aha, kina mama
wote kundi moja jana mlichambana
na nyinyi kwanini watangazaji wambeya
ngoma sio kali alafu mnatetеaa
na maneno mengi kelеle za kidedea
kwa hali hii ndio maana wanapotea
wanaochukua hela, shenzi type
muziki sio usela, shenzi type
nitawaletea na mwela, shenzi type
mwishowe nitakwenda jela, shenzi type
wanaochukua hela, shenzi type
muziki sio usela, shenzi type
nitawaletea na mwela, shenzi type
mwishowe nitakwenda jela, shenzi type
mahubiri yao wanaturazimisha
usipotoa zaka eti unaitaka vita
wakati wao wanajidhalilisha
mpaka kanisani wanavunja amri ya sita
tumeuona mkono wako bwana
inapigwa mpaka bar
tumeuona mkono wako bwana
biashara kubwa ni dini, shenzi type
na wafanyaji ni nyinyi, shenzi type
mnadhulumu masikini, shenzi type
kwa mungu mtasema nini? shenzi type
biashara kubwa ni dini, shenzi type
na wafanyaji ni nyinyi, shenzi type
mnadhulumu masikini, shenzi type
kwa mungu mtasema nini? shenzi type
Random Lyrics
- ivana - si nos volvemos a encontrar lyrics
- m unknow - ailleur lyrics
- tally koren - live for ever lyrics
- mozzy - unforgiven lyrics
- floppy disk - watch me now lyrics
- redflow - love 2 love, pt. 1 lyrics
- klang - if lyrics
- m!lk (jpn) - 何処へ (doko e) lyrics
- camo valentyne - know hate (pein & konan rap) lyrics
- yng vant - phone (so sick) lyrics