kalimani feat. jasmine - amka lyrics
(kalimani)
ilibidi isolation nijue nini muhimu kwa life/
k+mbe chips ni viazi cha muhimu ni wife/
daily drink si lazima, una’eza sacrifice/
hata mazishi upime watu plus hesabu za rice/
tena nika+realize si kila mtu ni wise/
ana’eza fuata epl na hawezi fuata advice/
asote ju ya eabl na hawezi hata sanitize/
ni kama siku ya ku+die terms and conditions apply/
bana! aki walai, wazimu ni nani?/
ni ka the more wanavyosoma ndo wanachizi kindani/
eti wafwasi ndio kondoo k+mbe mafisi kiplani/
ukidai kujisitiri ndio risiti huvanish/
k+mbe ni vanity imejaa kwa humanity/
kujifanya middle class hadi ukatwe ki+salary/
binadamu ndio +n+leta story za inequality/
na ukicheki tu visawa si sote tuko sawa//
(vivianne jasmine)
changamka… inabidi tuchangamke…/
inabidi kuchangamka… inabidi kuchangamkaa…/
changamka… inabidi kuchangamka…/
inabidi kuchangamka… inabidi kuchangamkaa…/
(kalimani)
ilibidi isolation nijue k+mbe siasa haidai/
chunga jirani yako pia ndio ye mwenyewe akufae/
k+mbe kampuni za kikenya ziko na manufaa/
yule unadhani ataishi ana’eza kua akufae/
(walai) si lazima tujazane kwa ndae/
una’eza fika tu vipoa muhimu uko alive/
mi naomba, tutaimada hii corona/
kusonga, na we mwenyewe utaona/
ma+biz zitarudi bila shaka huko gikomba/
walami watakuja tutavuna hizo ma+dollar/
madonda hawatakonda, mjei watabonda/
vinyozi na saloon bado watapaka poda/
nairobi, mombasa, kisumu… na ocha/
kwa dua za maulana bado si tuko pamoja/
changamka, inadai kuchangamka/
kila kitu tunaweza bora tu tumeamka//
(vivian jasmine)
maisha yamebadilika/
natamani tutakuja shinda/
j+po kuna pandashuka/
bado tutakuja shika/
sa inabidi kukaa mtaa/
na mikono kusafisha/
kama tumechangamka/
hili janga litakuja isha/
changamka… inabidi tuchangamke…/
inabidi kuchangamka… inabidi kuchangamkaa…/
changamka… inabidi kuchangamka…/
inabidi kuchangamka… inabidi kuchangamkaa…/
hili jangaa…
hili jangaa…
hili jangaa…
hili janga lita die, hili janga lita die..
Random Lyrics