azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kapaso bkp - sugua lyrics

Loading...

intro:
amini kwamba kapaso apa, g+nius kutoka tanzania eeh
cheche chee

verse 1:
nimelewa mwili sijalewa, akiri
mambo ya kuibiana sio swali

dondoa haraka, kreti mbili
yani mpaka asubuhi
umepata wapi? usiulize, we lipa biri

k+mbuka na mtoto kama wewe zarau
sitaki ntakupa kipigo ukaadisie
mbona jeuri? wewe ugomvi sitaki
ntakupa kipondo ukasimulie

chorus:
bac, nguto, sugua tinga tinga, cheza tinga tinga
sugua tinga tinga, we ng’ata kidole ringa

bac, sugua tinga tinga, cheza tinga tinga
sugua tinga tinga, we ng’ata kidole ringa

we rayder, sugua tinga tinga, cheza tinga tinga
sugua tinga tinga, we ng’ata kidole ringa
sugua tinga tinga, cheza tinga tinga
sugua tinga tinga, we ng’ata kidole ringa

verse 2:
uyu dada ana mzuka wa kusaura mpishe acheze chula
chula anapenda maji, lakini sio ya moto

kapewa kidogo, kanogewa, k+mbe big chawa
chula anapenda maji, lakini sio ya moto

kama uchafu ukigandia kwenye shati, sawa
nakupangusa, nakutoa kiboko ya madowa

uchafu ukigandia kwenye shati, sawa
nakupangusa, nakutoa kiboko ya madowa

chorus:
bac, nguto, sugua tinga tinga, cheza tinga tinga
sugua tinga tinga, we ng’ata kidole ringa

bac, sugua tinga tinga, cheza tinga tinga
sugua tinga tinga, we ng’ata kidole ringa

we rayder, sugua tinga tinga, cheza tinga tinga
sugua tinga tinga, we ng’ata kidole ringa
sugua tinga tinga, cheza tinga tinga
sugua tinga tinga, we ng’ata kidole ringa

verse 3:
oooooooooh chiiiiii
bac, cheza kama mende, kichwa chini, miguu juu, mama
dunda dunda, si unacheza kungfu

wanang’aa kama mende, kichwa chini, miguu juu, mama
dunda dunda, si unacheza kungfu

tucheze za kichina china, za kichina china
huhaaa

we, za kichina china, za kichina china
huta ishuuuuu

we, za kichina china, za kichina china
huhaaa

turuke za kichina china, za kichina china
huta ishuuuuu

maswali mengi, uyu dada amekunywa nini?
mbona ivi?
wanangu, huu dada amekunywa nini?
mbona vile?
anamzuka wa dable kick, dable kick, dable kick, dable kick
anamzuka wa key vant, key vant, key vant, key vant

kama uchafu ukigandia kwenye shati, sawa
nakupangusa, nakutoa kiboko ya madowa

uchafu ukigandia kwenye shati, sawa
nakupangusa, nakutoa kiboko ya madowa

outro:
hiii kwa wanangu wa zamani na wa siku zote
nikiwa na producer nguto, aaaah, nguto on the track

aah, nakubali wazee wa smart africa, ee, aah, deco de souza, eeeh, anakusalimia mwanangu ada boy kinyani

aah, msodoki the sun, abal ya town, ee, aah, nakubali mwanangu shahali the boss

we mauzo chata, anakusalimia mwanangu esco pablo
wazee wa bazic mathematics, aaah, mr. bkp

sura ya baba, miaka ya babu, mbuzi hang’ati

Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...