kapaso bkp - tunywe lyrics
j4d sound beberu
beberu
kapaso hapa g+nius from tanzania
adasco m2 mbaaya
nikiwa sina niwe mnyonge
yani nikizipata et niwe mpweke
si walikula nikaosha vyombo
leo nakata pochi wanatokwa na mate
nikiwa sina niwe mnyonge
yani nikizipata et niwe mpweke
si walikula nikaosha vyombo
leo nakata pochi wanatokwa na mate
we yule demu alonikataa leo hana jeuri
nakunywa bear za bei kali nusu wala sijali
kuna wanangu walonikataa wote wanapita mbali
mwanangu tussle masnich wanafata kivuli
aya sasa tunywe tunywe tunywe tunywe
tunywe tunywe tunywe tunywe tunywe
tunywe tunywe tunywe tunywe tunywe
tunywе tunywe tunywe tunywe
tunywе tunywe tunywe tunywe tunywe
tunywe tunywe tunywe tunywe tunywe
wanangu tunywe bear tunywe pombe
tunywe bear tunywe pombe
wanangu tunywe bear tunywe pombe
tunywe bear tunywe pombe
aya sasa jamani pesa yangu jamani hela yangu
ifike muda wa kula unipangie matumizi
ndugu yangu jamani pesa yangu jamani hela yangu
ifike muda wa kula unipangie matumizi
nyi wambea piga picha muende mkaposti (piga picha wewee)
we bwana shamba nishaingia namwaga manoti (wewee)
piga picha muende mkaposti (we piga cameraa)
we bwana shamba nishaingia namwaga manoti
(leo namwaga mihela mihela)
aya sasa tunywe tunywe tunywe tunywe
tunywe tunywe tunywe tunywe tunywe
tunywe tunywe tunywe tunywe tunywe
tunywe tunywe tunywe tunywe
tunywe tunywe tunywe tunywe tunywe
tunywe tunywe tunywe tunywe tunywe
wanangu tunywe bear tunywe pombe
tunywe bear tunywe pombe
wanangu tunywe bear tunywe pombe
tunywe bear tunywe pombe
aiweeeee kapaso apa g+nius from tanzania
aah temeke mpaka chamazi mgongoni aii
yani nikicheza unanikandia nisicheze kwanini
baki na kujua kwako unanidai nini
nikicheza nje ya beat nakukera nini
unatoka kwenu mi nyumbani hapa burudani
bibi dada ukienda chini baria unainama
rudi juu kama kagere unatetema twende
ukienda chini baria unainama
rudi juu kama mayele unatetema
tetema umepigwa short mwili mzima twende
tetema umepigwa short mwili mzimaaa
tetema umepigwa short mwili mzima twende
tetema umepigwa short mwili mzimaaa
shiiiii beberuu
kapaso apa g+nius from tanzania
wanangu wa bkp brand
anaitwa mwagona
we kifundo laki
familia 7 boda
we juma mahadhi msondo
winga ngiri maulid
tamira
mao dereva wa mkoa
we man fongo
de smart
adaaa
Random Lyrics
- luke leighfield - garde ta foy lyrics
- werby - снег падал и разбивал меня (sfabm) lyrics
- joey cool - drippin’ part 3 lyrics
- 3one4 - 2024 dx lyrics
- pity cat - deathwi$h lyrics
- dobet gnahoré - détenon lyrics
- panterula & bsk - déjà vu lyrics
- yungmioder - adi lyrics
- tate mcrae - greedy (remix) lyrics
- alia - 星空と君のうた (the starry sky and your song) lyrics