azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

karu black - crown lyrics

Loading...

ey
karu black
heavy is the head

kichwa ni heavy design ya king
mohammad ali kijana na sting
daily ni wera nipate kwa ring
cheki wanapenda ma vako na bring
mbona ku dhani na beba da ting
cheki ku tense na kuhepa kwa scene
karu da n+gga sinanga machine
lakini wanapenda ma vako na bring

talanta ni biz hakuna za vako
ma mbleina ni wengi kudai za macho
on the low low kwa dm ma vako za tapo
manguna wa kwenu hawajui niko hustle
mboka ikijipa ni noti kwa jasho
warazi matoathi si wote matako
walikatazwa toka days za bano
cops n robbers si popo ni pano
talanta ni real nipate kwa tracks na kimbiza mills
sinanga ka deal lakini ni facts na lipanga bills
kuhata ma meals thats in the past na winda na k!ll
kijana na gills vako za shark nikipiga ma drill
back in the ville wanajua ni na rap hawadhani ni sk!ll
nakuja na team nipate kwa map sitokangi nill
hakuna ku chill zabe na trap si number ni till
chasin′ the dream vile inafaa napenda the thrill

kichwa ni heavy design ya king
mohammad ali kijana na sting
daily ni wera nipate kwa ring
cheki wanapenda ma vako na bring
mbona ku dhani na beba da ting
cheki ku tense na kuhepa kwa scene
karu da n+gga sinanga machine
lakini wanapenda ma vako na bring

kichwa ni heavy design
mawazo ni mengi zingine za crime
cheki si zote divine
lakini ikijipa ‘tabidi na shine
daily nipate na grind
wera nachapa na ego na pride
ma morio ni wengi kwa tribe
hakuna ka mbleina utapata this side
na rada za kwetu hu vibe
ukiwa tu area utahitaji tu guide
daily unasema una ride
ngori ikikam i hope uta hide
venye nacheki the signs
ndani una gwaya mbona walai
venye nacheki the signs
chunga usi mblein ni kitu sidai
vako naleta wanasema ni crazy they like it like this
morio ali mblein alinitoka ma tire he turned to a b+tch
alikafunga kuomoka ni daily i hope that he rich
venye na leta hakuna vingine thats why ni na preach
kitu sinanga nashukuru mola ni damu ya snitch
nyoka ni nyingi weh fyeka tu nyasi ukifika kwa pitch
karu da g kutoka zamani siwezi ka switch
take over the game i hope uko rada usiseme ni glitch

kichwa ni heavy design ya king
mohammad ali kijana na sting
daily ni wera nipate kwa ring
cheki wanapenda ma vako na bring
mbona ku dhani na beba da ting
cheki ku tense na kuhepa kwa scene
karu da n+gga sinanga machine
lakini wanapenda ma vako na bring



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...