azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kash pleen - lawama lyrics

Loading...

verse 1:
jua ni kubaya hii mpaka ulaya
kwa hii rap game mtaniita messiah
one day one time nitacollab breeder
alafu papa jones then picha na lupita
hawa mahater tawakanyanga na tractor
kash pleen ndo jina yes mi ni rapper
mi hugonga shawty hadi anasema yes bana
mi najua we ni mslow huwezi rada

kazi ni kukata mizinga na jaba
mimi kama brian yea mi sipendangi drama
ka una shida na mi enda nyonga kalale
shout out to willis raburu pale
mi ni hardworking mi huamka mangware
mimi na ssaru tunapunguza ukware

beef yangu na wewe ilianza lini
ka ni clout basi si ujerk off pale cbd
mimi na ujinga my friend zii
kibare kwa face my n+gga utachizi
aty men are trash
b+tch huna akili
shoe game ni kali
shawty ana drip
lakini kisura ni kama imelimwa
akianani my friend nakuambia ni kubaya
dem venye anomoan utadhani ni choir
shawty ni player, lakini mimi ni coach
uko chini ka economy ya kеnya
og ndio master hakuna kubishana
mistari zangu fresh akili imetoka kambi
awa mabarbiе wajinga hawaradi
itabidi nimepost izi lyrics ndio warade
lazima ii ngoma iwashike na iwabambe, {eeh}

mi huroll na ladies
we huroll na ukedi
we ukipull up na crew
mi na pull up na doberman
mimi na wewe hatuko the same
mi ni batman na wewe ni bane
utanipata tu kwa highway
nikiswitch lanes
(eeh)

jua ni kubaya
ukiachwa achika
tafuta rebound wacha kulia
uwache usoro mafaka unakatsia
sipendi madem sukari unaskia
shout out watu eastlando
maninja kweli kweli

sina ubaya usichukulie vibaya
aty best friend yako ni arimis
ogopa huyo dem na boy anaita bestie
ye akiomba ana angushiwa tu one drop
anaridiwa tu ka machine za treadmill
wewe uko apa unamtext tu baby
unapigwa mabluetick na bado unamuita baby
wewe ni chali yake wa kutembea hadharani
lakini hutawai hit
irriz wharririz
my n+gga uku nje si ni kubaya
na ka we ni hater motherf+cker nakuachia lawama
(eeh)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...