azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kayumba - gentleman lyrics

Loading...

《it’s another ca$e》

[verse 1]
labda ameni safiria malimbwata na mivuto, sijui
au mola amenikutanisha ‘na mama wa wanangu, sijui
maana moyo ameugaragaza, ameufanya nini, sijui

chake chungu, siepui

[pre+chorus]
mambo poa, sasa nitaoa
salaam ziende kwa mama ‘mwanae nime kua
mambo poa ‘washkaji naoa
ule utoto, makuzi basi
wanangu tume kua

[chorus]
siku hizi tuna kwenda ki ‘gentleman
mmm…
(gentleman)
gentleman
(gentleman)
gentleman
(gentleman)
gentleman
mmm…
gentleman
woah, gentle
(gentleman)
[hook]
“kama kweli una couple mposti mwenzako”

[verse 2]
oh my baby lie, lie, lie, lie, lie, lie
nafanya chochotе ili nikuone ukifurahi
no excuse (?) usijе sema bye+bye (usije sema bye+bye)
aki nuna yes nambembeleza
cause (?)
na mpa muda w+ngu, namskiliza, it’s my joy
she is my best friend
she is my only one
african girl, number one
woah
yupo na gentleman

[pre+chorus]
mambo poa, sasa nitaoa
salaam ziende kwa mama ‘mwanae nime kua
mambo poa ‘washkaji naoa
ule utoto, makuzi basi
wanangu tume kua

[chorus]
siku hizi tuna kwenda ki ‘gentleman
mmm…
(gentleman)
gentleman
(gentleman)
gentleman
(gentleman)
gentleman
mmm…
gentleman
woah, gentle
(gentleman)
[outro]
“kama kweli una couple mposti mwenzako”
《ka mix laizer》



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...