ken demacra - akina nani lyrics
ken demacra
akina nani lyrics
intro dollar boy oyeeeh
mmmh tunawasha hatucheki na watu
dollar boy
when i fall down hakuna mtu ananimbia nisimame
the way you hate me unikogie sumu nikufe aje
onaaaah
asa kimbia boss uko nyuma nikubaya
hata wakuje na silaha aaaeeee
twakomeshea wenye viherehere
walie bila kufunga macho wasali sana aaeeee
nitoke magix niende wasafi gah
vilenataka maisha ndio wanataka
hasira yao kupandapanda wako na wivu kuliko paka
vile wanigongagonga bila wao kusimama wima
when i say i want believe me is true
ooooh kama ni vita mimi nitaepanga
aaaah naona mawingu inaonyesha kuna mvua
kila mtu kuweka baseni
wengina wanaweka sahani
wanakunywa maji kama pombe
wakawa na nguvu wakachukue jembe
penzi yoyoyoyoyoyoh
inaweza vunja chain
hata kupungaza pain
callabo yangu na alaine
weka kiti pahali plain
hata mi i can’t explain
nitapendwa na akina nani
ooooh akina nani
nyingi watu akina nani
ooooh akina nani×2 mmmh
watu wanichukia
hawana sababu ya kunichukia
matisi popote hata kwenye jumia
salamu iende kwa cymo junior
ndio nisame wima
ooooh kama people i gonna change my mind
wanifunga macho i can’t focus forward
moyo ukanimbia acha na wao
vile na wanaona sio watu wazuri
wananifail na mission
hata mimi niko na vision
baraka zangu zitoke
kwa mama
wasijenipepea na hakuna umeme
penzi yoyoyoyoh
inaweza vunja chain
hata kupungaza pain
callabo yangu na alaine
weka kiti pahali plain
hata mi i can’t explain
nitapendwa na akina nani
ooooh akina nani
nyingi watu akina nani
ooooh akina nani×2
maisha imenipiga hakuna mtu anayenipenda
natafuta mtu anayewezanipenda na hukuna
nateseka ile mbaya mbovu aaah they call me
dollar boy ken demacra red vein
Random Lyrics
- mary lambert - seasonal depression lyrics
- j2zz - galaxy lyrics
- $habo - hjärntvättar-maffian lyrics
- p38 (italy) - nuove br lyrics
- the ascendents - stuck with you lyrics
- alestorm - drink (live at summer breeze 2015) lyrics
- pace - reserved lyrics
- yunng poseidon - they say i have anger issues lol lyrics
- martin bunter - mi padre, mi rey, mi amigo fiel lyrics
- blairwych - another day lyrics