ken demacra - kadogo lyrics
ken demacra
kadogo lyrics
intro
verse 1
dollar boy oyeeeh
aaa kenny mwaga kidogo eeee (eee kidogo)
kanipandisha mori eeee (kanipandisha mori)
yule manze kadogo eeee (eeee kadogo)
wamembeba na lorry eee (eeee na lorry)
ndo maana muiiita sugar mummy
eeeeeh nataka lala
nataka pombe
aaa twende polepole manamba
hapa kuna mtaro
ebu tuege maji tuege maji
ka nicki minaji nicki minaji
kelele mkitaka tuarusha mbali (tuarusha mbali)
mawazo yakinoga tuarusha chui (tuarusha chui)
oyeeeeh
wanikimbiza dar selam eti niende nairobi
wakanipanguzia rodi nisichome na miba
eeeeeh tuonyeshe birika
kasema mchanga cementi (kufia)
kaniita kamiti (kufia)
akaniletea kitu (kufia)
sikuamini ni miti eeeeeh
verse 2
aliteta mfupa kaleta mafutaa (mafuta)
kanipa michele kaondoa mkate (mkate)
eeeeeh
ninawatoa aaaaah
tunafunga ndoa aaaa
ninawatoa aaaa
tunakesha aaaaa
mе nataka nenda (nataka nenda)
me nataka panda (nataka panda)
mе sitaki rinda (sitaki rinda)
usiku day si tuadai chai (tuadai chai)
kila mchana eee tuadai gari (tuadai gari)
aaaa kenny mwaga kidogo (eeee kidogo)
kanipandisha mori eeee (kanipandisha mori)
yule manze kadogo eeee (eeee kidogo)
wamembeba na lorry eee (eeee na lorry)
usiku shida ni segele
kuja unilegeze
mambo yote yawembele
tuaonyeshe ni pale
wale watu wapewe nini wajasoea wanachota saaa
karudisha heshima kamitini ujaja yao tunararuaaaaa
nilitamani tuwe na uhuru ila chenga za dunia nimeona
tharau
uhuru tutawale ila tuk+mbuke za jana
mimi nilale vizuri nikingoja godoro
(chorus)
aaaa kenny mwaga kidogo (eeee kidogo)
kanipandisha mori eeee (kanipandisha mori)
yule manze kadogo eeee (eeee kidogo)
wamembeba na lorry eee (eeee na lorry)
dollar boy…..
Random Lyrics
- hola caillou - sos lyrics
- bratlife - crimetimes lyrics
- коммунизм (communism) - отчего? (otchego) lyrics
- x laafrica - can be lyrics
- 1mob, dallas099 - immer zu spät lyrics
- stthericher - prada lyrics
- anni-frid lyngstad - min soldat lyrics
- get dead - fire sale lyrics
- lizha james - aniversário lyrics
- andrew garden - 40 days lyrics