ken demacra - kutwanga kwa nyundo lyrics
ken demacra
kutw+nga kwa nyundo lyrics
intro dollar boy oyeeeh
kutw+nga kwa nyundo
kutw+nga kwa nyundo
kutw+nga kwa nyundo
kutw+nga ile kokoto×2
maisha haijakuwa sawa
tena nami sina power
hakuna maziwa sour
kuoga ni kwa zima
nafanya kazi na hakuna malipo
eeeeeh hakuna malipo
nisimame kwa maji kama popo
eeeeeh kama popo
wenye meno ndo wanauma
eeeeeh ndo wanauma
nijifanye kama hakuna shida
eeeeeh hakuna shida
kupita mi namba one
kudensi mi namba one
kuchati mi namba one
kupika mi namba one
mimi nashindwa na dunia ya leo
eeeeh dunia ya leo
kuowa bibi wengine ndo wanakunyanganya
eeeeeh ndo wanakunyanganya
sij+penda kupoteza wakati
eeeeeh kupoteza wakati
uongo mingu ni ya nini
eeeeeh ni ya nini
kutw+nga kwa nyundo
kutw+nga kwa nyundo
kutw+nga kwa nyundo
kutw+nga ile kokoto×2
karibu nyumbani
karibu kwa kenny
usishangae kwa nini
usishangae kwa nini
nikupe stool juu hakuna kiti
do you mind ugali
nikupe ugali
nilete ugali
nikupe ugali juu hakuna supagheti
usani yangu nilianza
hata sikujua nitaweza
sema youtube kuupload vida
fb kupost vida
wengine followers ndio wanakucheka
eeeeeh ndio wanakucheka
kwa maana mola sijakufa moyo
inakw+nga kama mpira tia bidii utafunga goli
kutw+nga kwa nyundo
kutw+nga kwa nyundo
kutw+nga kwa nyundo
kutw+nga ile kokoto×2
aaaaah adoyo adoyo marach
Random Lyrics
- shirley carvalhaes - elói, elói lyrics
- the aftershow - magnetic poles lyrics
- jema - #2 fvde! lyrics
- the ascendents - society sucks lyrics
- make out life - if i die tonight lyrics
- tami lance - intentions (suspicious lies) lyrics
- saint raymond - solid gold lyrics
- britton - need somebody lyrics
- vaishali samant - jeevlaga title track lyrics
- phenp - eu notei lyrics