ken demacra - weka weka lyrics
ken demacra
weka weka lyrics
intro dollar boy oyeeeh
tuwasha nowadays hatucheki na watu
oyaah move your body oyaah your body
who gonna study oyaah gonna study
where is my puppy oyaah my puppy
the one who is pretty pretty
ooooh pretty pretty
the clever clever
ooooh clever clever
she is my sweety sweety
ooooh sweety sweety
hata kuna boy anaiitwa dollar oooh
ama nikiboeka chora form
important discussion sitaki pause
mapepo yakicome kuna holy gos
jesus hupenda wale wa chronicle
hata kwenye mto leta ndoo
kuna mambo mi hutenda mistakes
tena giza titi aliona snakes
mbio jkia kuona skales
samaki soai poa kama kuna scales
birthday situation poa lazima we celebrate
let me know mambo haya
nataka kujua mambo haya
juu chini mambo haya
shuluhisha mambo haya
asa wekaweka wekaweka eeeh
wekaweka wekaweka
betting wekaweka wekaweka eeeh
wekaweka wekaweka
kcb wekaweka wekaweka eeeh
wekaweka wekaweka
oyaah move your body oyaah your body
who gonna study oyaah gonna study
where is my puppy oyaah my puppy
the one who is pretty pretty
ooooh pretty pretty
the clever clever
ooooh clever clever
she is my sweety sweety
ooooh sweety sweety
niingia supper mall natumia dollar
headache ikizidi meza pain k!ller
mpeleke national park aone gorilla
usizingi wa mtoto ajamaliza
power ikipotea tunatumia sollar
sitaki euros
sitaki yen
sitaki shillings
sitaki naira
sitaki pounds
nataka dollar
kuna mambo mtaani watu wamejawa raha
eti kuna team poa man city
wameshinda league
kuplace bet mara nyingi utapta hela
mwenzangu kando yangu weka mara mbili
livescore chap chap yamenyanywa maji
let me know mambo haya
nataka kujua mambo haya
juu chini mambo haya
shuluhisha mambo haya
asa wekaweka wekaweka eeeh
wekaweka wekaweka
asa wekaweka wekaweka eeeh
wekaweka wekaweka
kcb wekaweka wekaweka eeeh
wekaweka wekaweka
asa wekaweka wekaweka eeeh
wekaweka wekaweka
betting wekaweka wekaweka eeeh
wekaweka wekaweka
wekaweka wekaweka eeeh
Random Lyrics
- trey cee - it's over lyrics
- pardon me boys - stairway to heaven lyrics
- апатия (apatiya) - знаю, я подвёл тебя (i know i done you) lyrics
- vita flare - out of luck lyrics
- unicorn sisterhood - i am you, you are me lyrics
- mdnyt - fluid. 流動的 (demo) lyrics
- justin cornwell & sharon rose - this day lyrics
- joseph mejía - 666 lyrics
- within reason - favorite sin (live) lyrics
- jay (aus) - mdm lyrics