kerly d - asante lyrics
karibu kwenye kituo cha mabasi
yaendayo haraka maarufu kama mwendokasi
tunanunua pesa mbovu, pesa za kigeni
na pesa zozote ulizokuwa nazo, mimi nanunua
alhamdulillah, asante mungu
alhamdulillah, asante mungu
aah, it is a new day
karibu mtaani kwetu
mtaa wa bora liende
usiulize eee
haya ndiyo maisha yetu
tunapamba kombe
awe tunashukuru tunacho kipata
kiwe kidogo ama kikubwa
ahsante baba, aah
na tunaridhika maana tamaa huzaa ubaya
eeh, me ndiyo msomi pekee kwa familia yetu
ajira hakuna, nipo ninashona viatu
siwezi kusikia maneno ya watu
wakati kichwa changu kimejaa madeni tupu
ukiniona napambana eeeh
usidhurumu haki yangu
nilipotoka kuna noma eeh
anaejua yote mungu
ila watu tumetoka mbali mbali sana
aah, watu tumetoka mbali mbali sana
hapa tulipo tunasema
alhamdulillah, eeeh asante mungu
tulichopata tunasema
alhamdulillah, baba baba, asante mungu
hapa tulipo tunasema
alhamdulillah, eeeh asante mungu
na tukikosa tunasema
alhamdulillah, baba baba, asante mungu
yeah, from zero to hero
asubuhi nimeamka, nipo doro
mchana nimepata jero
asante mungu
yeah
kila hatua kuna dua
sio mpaka nipate kikubwa
hata kwa hiki kidogo
asante mungu
eeh, me sijui mboga saba
wala pizza baga
ili mradi unanipa kushiba
asante mungu
jana ilikuwa kusudi
leo kama zawadi
ntazidi fanya juhudi
asante mungu
awee eeeh
kuna watu wanachukulia powa
juhudi zetu wanafanya mtaji
w+ngejua jinsi tunavyoumia
sie ndiyo tunatafuta ulaji
eeeh, me ndiyo mlezi pekee wa familia yetu
nategemewa kuleta chochote kitu
napiga kazi kutwa mchana na usiku
halafu kuna watu wanabana nisi tusu
ukiniona napambana eeeh
usidhurumu haki yangu
nilipotoka kuna noma eeh
anaejua yote mungu
ila watu tumetoka mbali mbali sana
aah, watu tumetoka mbali mbali sana
hapa tulipo tunasema
alhamdulillah, eeeh asante mungu
tulichopata tunasema
alhamdulillah, baba baba, asante mungu
hapa tulipo tunasema
alhamdulillah, eeeh asante mungu
na tukikosa tunasema
alhamdulillah, baba baba, asante mungu
alhamdulillah aaaaaaaa
alhamdulillah aaaaaaa
baba babaaaa
uuuuuuuh
Random Lyrics
- blood from u pus - депортация(deportation) lyrics
- molina - are they gold? lyrics
- chris brown - dat booty lyrics
- a'st1 - funky n roll tonight lyrics
- messiah20k - hit me up lyrics
- sttellla - la valse du court-circuit lyrics
- lucy deakin - care less lyrics
- chito rana$ - red eye lyrics
- whom gods destroy - keeper of the gate lyrics
- tom bourra - infinity (feat. lilypad) lyrics