azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kerly d – nakupenda lyrics

Loading...

kajoro

viem

wallah aah nayo waza hayawaziki
me nawaza nikuone nisione, kingine mbele
maana aaaah moyo w+ngu ume ukoki
siwazi hata mengine, only you i feel

aah ulivyo jaza sura ya mama
nakicheko cha kitoto
napata raha kukutazama
kule insta ma photo

nimbali unapo ishi uganda kampala
nitapanda hata bus nije nikuone angalau
nimbali unapo ishi uganda kampala aaah
nitapanda hata bus nije nikuone angalau

usione kama nateseka
mana mana mana
upendo umenifanya hivi
maya maya maya
usione kama na henyeka iyowee eeh
mana mana mana
upendo umenifanya hivi
maya maya maya, nimependa
nakupenda
uuuh love yes i love you
nakupenda
aaah ahhh
anything for you i can do
nakupenda
me i love you buu aah yes i love you
nakupenda
aaaagh nimependa

aaaaaaah
hata moyo una macho ulicho ona kwako
wanijue wazazi wako
itakua nice couple
baby punguza mapoz yeeah

hata moyo una

macho ulikuona wee
penzi tiba napona baby
wengine mibaa sukari wee iiih
aaaagh yeeah
kuwa nami upate furaha faraja
walio kufuja wame bwabwaja
maini kuku vibaga baga sasa
kuwa nami upate furaha faraja
walio kufuja wame bwabwaja
maini kuku vibaga baga sasa
nipe mavitu nijihisi niko peponi
navyo kupenda utaizidi microphone
mambo hadharani kwanini vichochoroni
baby baby eeeeh

nimependa
nakupenda
uuuh love yes i love you
nakupenda
anything for you i can do
nakupenda
me i love you buu aah yes i love you
nakupenda
aaaagh nimependa



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...