kevin junior - zero lyrics
verse – 1 ( kelvin junior )
so how could i be a fighter , kupigania penzi la uongo
and how could i be a lighter , k-mrika nisipopaona , eeeh
baby gal do yuh remember
yuh told mi this
yuh told mi that
unanipenda mi not another man
so why yuh leave mi and get another man
umesahau zile zote zetu plan
mi i know baby feel about mi , aaaah eeeh aaah
tell mi a ting da made yuh go
tell mi g-yl why yuh leave me
tell mi a ting da made yuh leave baby g-yl baby g-yl , eeeeh
nilijua milele utakuwa w-ngu , and i gave yuh everything dat yuh wanted
milele utakuwa w-ngu , aaaah eeeh
yuh know i wanted take yuh to ma mamaa
nilijua milele utakuwa w-ngu , and i gave yuh everything dat yuh wanted
milele utakuwa w-ngu , aaaah eeeh
chorus ( centano )
kila nilichofanya kwako , mema yangu yote hukuona , aaah
umesahau mipango , pendo letu umechoma , aaah
zero zero
kila nilichofanya
zero zero
pendo umesahau
zero zero
kila nilichofanya
zero zero , uuuuuh …..
verse – 2 ( kelvin junior )
kwako nilikolea , iweje unidrop kabla ya mwisho
love pata potea , kuondoka kwako ndio hitimisho
maybe nilikosea , kuondoka ghafla kama kifo
kama upepo ulipepea , sikuona hata nyayo zako
si ulijua vile nakupenda, ndio maana umeamua kufanya hivyo
kila kitu nilitenda , ilimladi uwe special oooh
chozi la dondoka , mwili kudhofika
mazuri niliyotenda , nikik-mbuka
taratibu umenitenga , simanzi yanishika
wapi umekwenda , huku nateseka , eeeeh
toka uondoke ni we , hata nikilala nakuotagawe
nikikufumbua macho sikuoni , upo wapi wewe , ona
toka uondoke ni we , hata nikilala nakuotagawe
nikikufumbua macho sikuoni , upo wapi wewe
chorus ( centano )
kila nilichofanya kwako , mema yangu yote hukuona , aaah
umesahau mipango , pendo letu umechoma , aaah
( zero zero ) x2
i say zero zero
zero zero
zero zero , uuuuuh…..
outro ( kelvin junior & centano )
do yuh remember de day yuh call mi sugar
do yuh remember gyal
( do yuh remember ) x2
do yuh remember gyal
( do yuh remember ) x2
sugar …..
do yuh remember de day yuh call sugar
i say do yuh remember de day call mi sugar sugar , aaaah no no oooh uuuuh uuuuh
mocco g*nius
centano
ksb on this one …
Random Lyrics
- faye blais - the ways i love you lyrics
- felkers - varu būt viss lyrics
- archers of loaf - underdogs of nipomo (vee vee 4-track demo) lyrics
- c3 music - you alone lyrics
- draftxgaming - d.f.t lyrics
- s3rl - silicon xx lyrics
- yung xenu - no thots in my break lyrics
- lubjan - hymn to music lyrics
- nightborn - unmarked burial lyrics
- if i were you - broken lyrics