azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kevog - kama ni vita lyrics

Loading...

intro :
oooo okay
yeah, ni mimi, kevog , yeah on the mic
(listen)

chorus :
kama ni vita, kuja na rungu
wameru wajaka na pia wazungu
ukinipata kwa keja , piga manduru
na spendi ufala napiga
napiga collabo na fe fe fendi

kama ni vita, kuja na rungu
wameru wajaka na pia wazungu
ukinipata kwa keja , piga manduru
na spendi ufala napiga
napiga collabo na fe fe fendi

verse 1 :
ni mimi tena ndio nimefika na bado naumwa na kichwa
yes bana nimelupuka unadhani ni mbegu za mbichwa
ka karanga ongeza kahawa ndio upate manguvu za kitanda
koz nikianza nitaipepeta mpaka itoe taste ya fanta

nikismama kwa goro geri stima zote zina lost
hater after kunigwaya aliona ni heri ajisunde kwa choo
sinanga ubaya ambia pato this round keroma ni mob
si nimewa+reply sana ni high time pia nyi muonje ma snob
shut the f+++k nijenge metre number nikurushie izo ma+tokens
back to back hakananga mahaga but nikatoto roten
hit & run nikama dawa niukapea miti often , yeah
verse to tongue sungura aliachanga kurap ye hubonga vitu spoken

ni round ya kwanza na buda ashahema uso utathani ni blue+face
tunawacheza na ukituchunguza hautapata izo ma+traces
ni ma+timber nilisare story za lophaz hazinanga laces
umang’aa sina niliacha kukulia izo vitu kwa fences (listen)

chorus :
kama ni vita, kuja na rungu
wameru wajaka na pia wazungu
ukinipata kwa keja , piga manduru
na spendi ufala napiga
napiga collabo na fe fe fendi

kama ni vita, kuja na rungu
wameru wajaka na pia wazungu
ukinipata kwa keja , piga manduru
na spendi ufala napiga
napiga collabo na fe fe fendi

verse 2 :
katoto kadonye kanadai beha tu ndio kashike kameme
(who are you?)
mtaropokwa mtasengenya bado izo zenyu kasheshe
napenda mashimo zimetulia si kila siku inégéné
nipate kwa base mashini iko active every time niko veve
unakaa umesota na niko wanted kwani ujasoma logistics?
unawe mikono ndio uwadishi?(mmh!) nawakula na chopsticks
kevog ndio heartbreak nilistop reggae na pia hizo ma heartbeats
dem ni penting peter marangi logo ya crown na lipsticks

spendi scandals hata na sandals zgwembe pia ni muscle
roho chafu kemea na ikae kimia ama ioshwe na bar+soap
tunapenda madrill tunawadrill toka mwanzo hadi non+stop
ukede ni real c0vid ni real nimehepa niko tiktok

(ukede ni real c0vid ni real nimehepa niko tiktok)
ooooo okay

chorus :
kama ni vita, kuja na rungu
wameru wajaka na pia wazungu
ukinipata kwa keja , piga manduru
na spendi ufala napiga
napiga collabo na fe fe fendi

kama ni vita, kuja na rungu
wameru wajaka na pia wazungu
ukinipata kwa keja , piga manduru….

oooo okay okay okay okay……

© @kevog
all rights reserved
taji music records



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...