azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

khaligraph jones - blue ticks lyrics

Loading...

[intro]
d+mn alex, you spazzin’ out
luigi got the sauce

[chorus: khaligraph jones & femi one]
phone ina+ring na si do sh+t (do sh+t, do sh+t)
probably coz i’m on my new sh+t
calls za ufala ni useless
nime+block hizo number ni useless
messo nawakulisha blue ticks
blue ticks (blue ticks)
blue ticks blue ticks
blue ticks blue ticks
blue ticks blue ticks
phone inalia si do sh+t
kwa messo nawakulisha blue ticks
[verse 1: khaligraph jones]
nawakulisha blue ticks, niwajulisha ju ya whos sick
and who’s this?
ni baba ka+mum omollo jatelo so move b+tch
[] iko juu iko boosted (boosted)
boosted, compe for now imekufdead
femi ebu washa ki kushde
combi hatari hii kitu ni ruthless (ruthless)
ruthless, niko kwa midomo zao ka toothpaste
manze anabaki ako toothless
professor anarudisha musde (musde)
musde, we hutaka kujua mahali mi hu+stay
niko pande za kayole ma+tuesday
ma+rapper wamechoka wamebeba ma+suitcase (suitcase)
wamechoka na mimi vile mi huspit

[chorus: khaligraph jones & femi one]
phone ina+ring na si do sh+t (do sh+t, do sh+t)
probably coz i’m on my new sh+t
calls za ufala ni useless
nime+block hizo number ni useless
messo nawakulisha blue ticks
blue ticks (blue ticks)
blue ticks blue ticks
blue ticks blue ticks
blue ticks blue ticks
phone inalia si do sh+t
kwa messo nawakulisha blue ticks
[verse 2: femi one & khaligraph]
mafisi wanatamani mchuzi (mchuzi)
nikisimama huyu msichana ni m+juicy (juicy)
kucheki ni sare lakini kijana usiguse (guse)
ukiguza utafanya mi nibadilike vi+stupid
upigwe, ukufe (kwenda)
nilihama ghetto ka mbusii, hater akaleta matusi
hater akakanyagwa makuti makofi za lucy akanyanganywa musi
ujuaji haishindi ujuzi (no), hii ujuzi haikuanza juzi
juzi waliuliza whos this (uno), siku hizi kwa messo ni blue ticks
yacht party tuko dubai, kwa kibeti nimejaza muigai
expressway my new ride, ficha sura watajua new guy
origi mbichi ndio si hu+buy, ka ni fishy sisi tuna+swim by
khali femi kiti ni ya muigai, ticky tunawakulisha blue type
you guy

[chorus: khaligraph jones & femi one]
phone ina+ring na si do sh+t (do sh+t, do sh+t)
probably coz i’m in my new sh+t
calls za ufala ni useless
nime+block hizo number ni useless
messo nawakulisha blue ticks
blue ticks (blue ticks)
blue ticks blue ticks
blue ticks blue ticks
blue ticks blue ticks
phone inalia si do sh+t
kwa messo nawakulisha blue ticks
[verse 3: khaligraph]

[chorus: khaligraph jones & femi one]
phone ina+ring na si do sh+t (do sh+t, do sh+t)
probably coz i’m on my new sh+t
calls za ufala ni useless
nime+block hizo number ni useless
messo nawakulisha blue ticks
blue ticks (blue ticks)
blue ticks blue ticks
blue ticks blue ticks
blue ticks blue ticks
phone inalia si do sh+t
kwa messo nawakulisha blue ticks



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...