azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kiboko - ruka lyrics

Loading...

[chorus]
nikitokea watu wanaruka
crutches wanatupa
spika zinalipuka
daraja tunavuka

[verse 1]
anaitwa jackline rangi ya toast
nampepeta kila wiki aki+touch her toes
comin thru the waves quick
we’re banging the most
unprofessionally professional?
we’re mighty close n they stuck to me like tick on a host for all their aches
musically n verbal prose
touch n go on the dental with the magic floss n the windows stay closed for the antidaote
nikinyamba nakuangalia macho
ofisi ama sydz za pacho na+release nakuwachia hapo
nilisosi ugali macho juu teargas ni haki yako
when i step down cities turn up with the medicating waves
crisp burn+up
it’s just a part don’t get hang up
she got a mind she left coz you’re stuck up
shut up!
[pre+chorus]
dig n you’ll find there’s caves in these mines
awakened a beast from the ancient tymz
nikiwa pool niki+mind what’s mine
planning n plotting these rhythms n rymz
havin a drink n relaxin my mind

[chorus]
juu nikitokea watu wanaruka
crutches wanatupa
spika zinalipuka
daraja tunavuka

[bridge]
anza kuchoma
meza ma+doughnut
ongeza na soda
anza kushona

[verse 2]
they call me patrón
el jefe
boss hii mid kama n’golo kanté
sandwich funga ni samosa na chapati
me ni mkenya
nikinunua sema asante!
na si wakwende
mtoto akilia mpe wembe
unga usipime kama tembe
nyama choma unleash na sembe
ukiingia gava lazima ujijenge
board moves zako ni elementary
no vision
you’re the dummy of the century
ati unajishasha unaitwa bruce lee?
hii ni mbogi ya onyango chong’li!
[pre+chorus]
dig n you’ll find there’s caves in these mines
awakened a beast from the ancient tymz
nikiwa pool niki+mind what’s mine
planning n plotting these rhythms n rymz
havin a drink n relaxin my mind

[chorus]
juu nikitokea watu wanaruka
crutches wanatupa
spika zinalipuka
daraja tunavuka

[outro]
oh yea ruka
i said ruka
don’t joke here!



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...