kiche legend - angalia juu lyrics
chorus
shalom kwa mademu walioniangalia kwa chini
shalom to the mbwigas walioniangalia kwa chini
shingoni sina kitu so hawakunithamini,
kichwani ndo iko madini, the sky is the limit
angalia juu, (heeey) angalia juu, (so fly can you see me now) -3
verse 1
wanaulizana who let the genie out the bottle
coz since i been out its bottle after bottle
bottle after bottle after bottle
si unajua mtoto wa mbwa tena nisha hit the lotto
champagne for all the pain the world bring
liu kang for hizi kicks that i came in
and i came in with the a team, mbwiga we made it, angalia juu amen
800 thou na kaka zangu twagawana,
wahenga walisema undugu si kufanana ni kufaana
njoo ujiunge na chama, ujifunze kuona kwa urefu na mapana
bapa juu ya bapa juu ya bapa
chapaa juu ya chapaa, huna chapaa chapa lapa
ma brothers got my back kama ile logo ya kapa
kwa mademu wote cake hii leo ndo birthday ya mwana.
chorus
shalom kwa mademu walioniangalia kwa chini
shalom to the mbwigas walioniangalia kwa chini
shingoni sina kitu so hawakunithamini,
kichwani ndo iko madini, the sky is the limit
angalia juu, (heeey) angalia juu, (so fly can you see me now) -3
verse 2
i told talk to the hands, ni crazy muppets
spika zangu ziko deep, deeper than ya pocket
cheki wako shot, wamegusa socket
remember you blew me up, you wanna blow me get a trumphet
kwa sasa nawakilisha wakili wake wakala
mpesa ni hii wallet imetuna kama kajala
majalala sikuwa hata na dala ya dalalala
asante sala mbwiga now ninamake dollars dollars
doors open up i go to different stages, the legs open up yellow pages
snitch mbwigas walk away, yellow pages
kila kutwa kula chips kwenye kazi domo zege
tunachoma barberque tunachoma barberque
drinks pembeni, pembeni swimming pool
tunachoma barberque tunachoma barberque
music so loud, you know how we do
chorus
shalom kwa mademu walioniangalia kwa chini
shalom to the mbwigas walioniangalia kwa chini
shingoni sina kitu so hawakunithamini,
kichwani ndo iko madini, the sky is the limit
angalia juu, (heeey) angalia juu, (so fly can you see me now) -3
outro
icy in the house watch your mouth
agogo in the house watch your mouth
rocky in the house watch your mouth
mswati in the house, get you best get down
ronny in the house watch your mouth
kiche in the house watch your mouth
team mbwiga in the house watch your mouth
909 in the house, we own this house
Random Lyrics
- reparture - shadows lyrics
- rudimental - treading on water lyrics
- j d o g - vengance lyrics
- w a s p - miss you lyrics
- wiista - naiye lyrics
- lucky dube - respect lyrics
- lovelyz - sweet & sour lyrics
- cindy bernadette - suatu hari nanti pangeranku akan datang (someday my prince will come) lyrics
- d3wi amour - sudah kuduga lyrics
- 5romeo - yuk buat boneka salju (do you want to build a snowman?) lyrics