king hanzua - bado nakusaka lyrics
bado nakusaka lyrics
chorus
bado nakusaka, bado nakufwata
kila mtaa utatokea,mapenzi yamenoga hisia nayo sikia
siezi, kujizia
na sita kuu, zishia wala kurudishia + 2
verse 1
malaika washanena,nimeona kwa macho
kama bahari macho yako, yanani pagawa
na uko tu sawa
nimeamini umekuwa kama, dawa za kulevya
siwezi kuacha kwani haya ni nini
nieleze ulicho, nifanya mimi
penzi lako tele, liwe msingi
umenielekeza, nikawa laini
wengi hawakuamini, penzi letu tu silly
lakini nakupenda, tu hivi
bady girl, don’t you ever leave me
haya yote, yawe siri
yote madaya nilitenda nishakiri
chorus
bado nakusaka, bado nakufwata
kila mtaa utatokea,mapenzi yamenoga hisia nayo sikia
siezi, kujizia
na sita kuu, zishia wala kurudishia + 2
verse 2
bado nakusaka bado nakutaka
moyo una mashaka daily nko mashada
trynna 4gеt all the times we had
all thе stuff we shared i wish you cared
to the end o the world si hivo ulinishow
an all that while nikakutreasure for sure
ukanichocha hujai feel this before
nikakupenda fast love pedal kwa floor
couple imeweza wanastare in awe
am feeling fiti me nahit it raw
baila baila baby took it slow
the way she dropped it low
she just took my soul
chorus
bado nakusaka, bado nakufwata
kila mtaa utatokea,mapenzi yamenoga hisia nayo sikia
siezi, kujizia
na sita kuu, zishia wala kurudishia + 4
Random Lyrics
- ants & serri - 자꾸 (jakku) lyrics
- aw3som3 alv1n - ***** talk (cover remake) lyrics
- vesta - kotiosoite lyrics
- blade brown & k-trap - 6 figures lyrics
- relja - zatvori oči lyrics
- no one or no thing - замена (replacement) lyrics
- jasonhaze - pórtate mal lyrics
- eddie tranzam - m enkanta! lyrics
- glad - which way the wind blows lyrics
- gos g - birds chirping lyrics