azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

king kaka feat. third hand music - mama lyrics

Loading...

7th of may is the day she brought me to this world
kennedy is my name lakini mtaani mimi kaka aah ah
yeye aliweka dishi kwa meza

akahakikisha kuwa mimi sitaweza kosa chochote
hivo maana naimba from top of my lungs yeeah

atakama akuwa na mali jamani
kakazaana wanawe wapate safi
hivo maana kwa moyo w-ngu
mimi nasema nakupenda
nawendio mamangu eeh eeh yeiyee eh
nawendio mamangu hivyo basi

usijihurumie rumie eeeh – 2

usijihurumie rumie eeeh – 2

ile upendo ninayo kwako niyadamu kando ya fupa
kaniubaya nilitenda ni mother alizusha
wakatishida zilikuja na azikutaka kuenda
akuonyesha zilikuwa
bado ilikuwa ni nyama na mrenda
atazikizidi aje chai bado niyaketepa
alinionyesha barara nivuke kwa zebra
usafi wa akili na mwili ndio nitapendwa
hiyo ilikuwa ni 94 ndio nilikuwa cl-ss one
kanibag check
kanitie check
na handkerchief kwa mf-ko
kiatu ikitokana kamba moja chini moja juu
alafu nenda chuo mother alisema hakuna kufail
lazima up-ss son
kwaivo odijo akinifunza chuo mother ananifunza home
asubuhi kwa bag ni juo end term ni report form
nilimtakia smile kwa uso siezi lipisha aliyotenda
ni asante kwa fujo

vile madoor maker wakawaida wakatengana na buda
alituficha machozi ungedhani amelia kwa mvua
-n-lisha vijana watatu kwa hivo hustle yake akainua
hakuna kitu ilichange bado alismile the same
tunafunzwa kupika kufua ju hakukuwa na dem
nimecheza bano siku yote nasijaosha vyombo
nikimpata kwa hao najua leo niviboko
nanikweli nilichapwa nanikweli nilikanywa
nikaona kweli niliblanda nikabadili ninavyo fanya
wikendi nikwabuda weekdays nikwamother
mungu akampenda buda akamchukua nikiwa cl-ss saba

mother ndo breadwinner anaakikisha sahani ikona dishi
kanitokyo fila anaakikisha nguo iko kwa mwili
na mmoja akimsumbua wengine tunamwongelesha
shida tunatatua
asante kwa kutuboresha

even though alitaka nikuwe daktari sanasana rubani
mungu alinitunukia zawadi ulimi akatia mistari
hakupenda nilipomwambia natakakuwa mwimbaji
ikawa ni issue nikafanya mambo yangu chini ya maji
saa hii anafurahia akipigiwa king kaka yuko kwa tv
nauk-mbuke nimemwalika vip nalaunch cd
kulea vijana watatu simchezo na mimi ndo kitinda mimba
nikona show nakurunahiyo show inalipa
ananiambia omba mungu naunipigie ukishafika
namshower na mazawadi nanampunguzia mzigo
siezilipisha hiyo love sababu yeke aina ukingo
akiwa na mahitaji najikuna miujikuna zaidi
mawazo ya alipotutoa hadi ikawa ni mimi
ebu cross line yake tutapigana kichizi
miumpigia kila wakati k-mk-mbusha
nampenda
mola amwongezee hiyo moyo
natena natena

usijihurumie rumie eeeh – 4



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...