kinoti kinyua - rudi lyrics
i’m writing a letter
to my long lost love
cuz it’s been forever
since i felt your touch
wajua nakupenda
lakini siku zinaenda
i need you back (oh cuz i need you, i need you back)
i’m trying not to think about you
but my heart only beats for you
i need you back
i can’t deny, no
that i miss you baby
i can’t deny, no
that
kuk+misi imenifunza adabu
bila wewe mimi sio binadamu
ninajua niliteleza
nakubembeleza ukiweza
rudi home, ooooh
mpenzi rudi home
oh, rudi home, home
mpenzi rudi home
nak+mbuka uchungu niliohisi ulipotoka
i remember maumivu niliyohisi
uliposema umechoka yeah
je, ni maua sikuleta ya kutosha
ama sikuwapiga walipokuchokoza
ama siku yako ya kuzaliwa sikukuja kukuosha
je, ni maua sikuleta ya kutosha
ama sikuwapiga walipokuchokoza
nieleze niambiе ili fikra zangu zitulie
i can’t deny, no
that i miss you baby
i can’t deny, no
that
kuk+misi imеnifunza adabu
bila wewe mimi sio binadamu
ninajua niliteleza
nakubembeleza ukiweza
rudi home, ooooh
mpenzi rudi home
oh, rudi home, home
mpenzi rudi home
oh, rudi home
rudi home
Random Lyrics
- jeffry dr - kiti lyrics
- mỹ tâm - có một dòng sông đã qua đời lyrics
- suicidegame - гормоны lyrics
- tory lanez - red casamigos lyrics
- knifeplay - ryan song lyrics
- luciano & kalim - blue cheese lyrics
- whitney houston - don't cry (live in commitment to life vii: aids benefit) lyrics
- tylerhateslife - haters hate. - original version lyrics
- lil yu - take care of urself lyrics
- doğu swag - maşallah lyrics