krazy e (the mad professor) - house party (we happy) lyrics
hook
mrembo wa+ ghetto, mrembo wa+ uptown+ panda + kwenye+ floor
huna+ dooh, but+ uko+ afya + baby tupa love
wacha maringo songa hapa cheza yangu song
thank mungu uko hapa juu kuna form
ni weekend+ tunazoza na dj+ anaroga
team ni bie+ iko awesome no delay nikusonga
how we play tunafunga thirty goals kama olunga
mary jane zinafungwa joint ni strong kama zinga
kuna pesa kuna mzinga na wasee wanaimba
nikucheza na kuivaa juu wasee tumeshiba
ndani ya party tunatinga na kwa floor k+meshiba
usherati kawaida tunaf+ck kwenye vyumba
marafiki wanatinga kila mtu ako dimba
wanafiki wanachimba babylon inadunda
mashabiki kama simba wana roar ndani ya nyumba ( roaring)
halaiki tunashinda tunaglow kaa wachumba
vako tamu za saumu zinanibless kwenye chumba
tunasweat ndani ya room hardcore s+x kwenye chumba
kuna grade kuna gauge ni sherehe ndani ya chumba
higher grades higher gauge na mapeng wanak+mbwa
gangster party na mapuppy zinacatch zinashika
no nafasi ama wasiwasi me na team tunashinda
take nafasi sema asante n+gga juu tunashinda
wacha wasiwasi bado wakati kama g+ hujashinda
ni happy ni hepi ni party mzee
u lucky am lucky we happy mzee
bunduki na nafsi ni safi mzee
rada safi ni party ni awesome mzee
hook
mrembo wa+ ghetto, mrembo wa+ uptown+ panda + kwenye+ floor
huna+ dooh, but+ uko+ afya + baby tupa love
wacha maringo songa hapa cheza yangu song
thank mungu uko hapa juu kuna form
ni weekend+ tunazoza na dj+ anaroga
team ni bie+ iko awesome no delay nikusonga
how we play tunafunga thirty goals kama olunga
mary jane zinafungwa joint ni strong kama zinga
kila gaidi amekwama na wake
mbili mbili ndo number kwa party
wengine kama mimi nina kama watatu
esther, fibi, na saumu kwa mattress
ladies na mapozi
hawapendi vijana wanoisy
kwa sasa wanataka smokey
vela, pombe, na moshi
ni magangster galz+ am in love with them
hao ni pea smilez+ sio fujo mahn
coochie nice+ wako wasafi mahn
i love u tight+ to all the kenyan babes
niite mzalendo krazy napenda warembo
wale wa kutoka majengo, runda, western+ awendo
kina khadija from magongo, ama awinja + kutoka bondo
lupita kutoka rongo, ama samir kutoka donholm
shiko, na shiro, lavender na muso
iyvone na vione, malemba na susan
(so) jah bless all cute galz
walinde popote in these world
am high nikiroga these words but, still f+ck it bado nagive thanks
juu party ndo inaisha na my buddies wamebambika
safely tunadondoka
hakuna mtu +n+lalamika
mrembo wa ghetto mrembo wa uptown
panda kwenye floor
huna pesa but uko afya baby tupa love
wacha haya songa hapa cheza yangu
thank mungu uko hapa juu kuna form
ni weekend tunazoza na dj anaroga
team ni bie+ iko awesome no delay tunasonga
how we play tunafunga thirty goals kama olunga
mary jane zinafungwa joint ni strong kama zinga
Random Lyrics
- oxxie - username 666 lyrics
- liz lawrence - big machine lyrics
- asianrok - tooli lyrics
- el último ke zierre - ¡denuncia! (¿para qué?) lyrics
- notti osama - evil twins lyrics
- lionel richie - lady (duet) lyrics
- aditt - time heals lyrics
- silla - alle meine fans lyrics
- de gozers - perziksap! (nightcore) lyrics
- night club - another side of you lyrics