ksonrap - haujamskia lyrics
hauk+mskia babuu alivyokwambia kimbia/
hauk+mskia salut alivyosema chunga sana/
sikio lakiziwi haukusikia ya wahenga/
kifo jela au za umataasisi hak+mskia langa?/
hauk+mskia jaymoe aliposema ulimwengu ndo mama/
hamk+mskia roma/
ulikuwa wapi wakati tmk wanapiga mapanga/
rafael hauk+msikia saganda/
wakati wagosi wapotanga au dani msimamo siku nzuri inavyokwenda/
hak+mskia balozi dola ubalozini/
sasa yupo unyamwezini marekani/
ungeona mbali ungemkiliza afande wa darubini/mkali wa hizi rhymes
sasahiv ni waziri ila alianza kitambo hicho mwanafalsani/
unaweza k+muita binam wa mabinti dam dam/
please forgive me kama hauk+msikia majani watu waligonga nakala kwa mamu/
haukuwaskia kikosi wakati wanapiga mizinga pale block 41 (kino)/
ilikuwa ni noma usiuze wakati kiraka rado ana mwaga sana wino/
hauskia wakati anatubu chidibenzino haukukaa tayarl kunamskiliza jos mtambo kigambonino/
ulikuwa kijijini sitimbi wakati asuu anatamba na misambano/
kulikuwa na mwinjuma mumini kabla ya hizi amapiano/
umekosa vingi hauk+mskia hongera wa michano/
Random Lyrics
- young $oap - да я даун (yes im down) lyrics
- one ton - cherry boy lyrics
- design (usa) - dancing in a trance lyrics
- krešo bengalka - prče lyrics
- sherina munaf - nostalgia bersama lyrics
- jenny hyun - someone lyrics
- haley joelle - avery lyrics
- savatage - not what you see (acoustic version) lyrics
- 6 dogs - over it lyrics
- big daddy marc - just wanna rock lyrics