ksonrap - nitachana lyrics
[intro: ksonrap]
yeah!yeah
word up son!
“word is born”
ksonrap
aahh (skia)
[verse 1: ksonrap]
nitachana mpaka uzee kama sugu;
wakiloga nitachana kwa ishara kama bubu;
sitoacha nitachana kama rado kwenye kutu;
kama stopa nitachana style zaidi ya tatu;
nini tuzo nitachana kama nash msinipe ata buku;
piga kiki piga snare mandavaku nitachana bila guitar bila dufu;
nitachana kwenye nguzo na misingi bila promo za mabantu;
gangsterr nitachana kama guru nitachana kiukombozi fikra ziwe huru;
mkinipa mic nitachana mpaka ikulu miaka tele nitachana kama salu;
nitachana kama sloter wa majitu; lwp majitu
mtoto wakiume nitachana kama geez mabovu;
nitachana kama wembe wabaki na makovu;
kitaani most wanted nitachana kama d kn+b nitachana kama d rob;
nitachana kino nitaibeba mabegani kama nyandu nikiondoka mnik+mbuke kama dandu;
nitachana kama lufu kwahizi tungo heavy kama lindu;
hakuna chakuogapa chini ya mbingu sitochana kuhusu chuki wala wivu;
nitachana kiafrika kwa baraka za machifu masharifu;
mawalii manabii watukufu turudi kwenye tamaduni zetu;
sasa ndo nachana deep kama mansulii kina kirefu;
“sinza star”
rest in power mac2b:
[verse 2: ksonrap]
nitachana kama s.
Random Lyrics
- murad arif - biz mehriban ailəyik (popurri) lyrics
- star (@stargodat) - srt lyrics
- al hazan - i think of you lyrics
- rocket pengwin - invincible lyrics
- prettyboi floydd - tropics lyrics
- laura elle - nepfcm lyrics
- mano leyra - gâchette double lyrics
- lil r jab - kareless (demon) lyrics
- sa!koro - fabulos0 lyrics
- lake blake - elvis & i lyrics