azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ksonrap - njoo mjini lyrics

Loading...

[intro]
ksonrap
nipo na d black
wouh!! yeah yeah!!
yeah..ahh

[verse:1]
njoo wewe town
upo bush unachonga
arif unabonga
njoo uone kama utajenga
unafikiri tunapenda?
kilichomkuta mr nice mkenda
tumeshikwa kama dege kwenye tenga
huku town kuna watoto wakali africast wakipemba khe!
wenye mzigo matata wanene na wembamba
nawapakia mkongo nakilemba
naskia unachonga sana ngenga siutani
njoo uone wema ulio mfilisi idris sultan
nipotea kama vile mbosso khan
mishkaki seefood kama vile forodhan
kuna manesi watoto wakali wa sudani
unafikiri utak+mbuka kuhusu shamba!?
mbunge wenu yupo huku town natamba
(sholo mwamba)
kuna chura kibao kama snura ni majanga
(watoto wanadanga)
huku town yenyewe nimepanga
kighetto flan uswahilini sina sofa wala kitanda



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...