ksonrap - tivu ake lyrics
oya wajumbe mn+z+ngua!!.. (mn+z+ngua)
hatumtaki tivu ake..
oyaaa rasta un+z+ngua..!!! (un+z+ngua)
hatumtaki tivu ake..
producer hatuitaki beat yake hatutanii…!! (hatuchanii)
hayajui matatizo ya wasanii (msanii)
(hatumtaki)
hamja zingatia itifaki..
haujui utamaduni
deile ana hang kina wema
hajimix na wahuni..
haibuki misingini..vilingeni
hatuna chuki nae..
mnasema tuna msagia tu kunguni..
tivu mtu makini
eti tivu ake ana connection na wawekezaji wazabuni..
tivu anakipaji k+mzidi mr bean..
bongo movie anaonekana kila scene..
k+mzidi ata joti na mkojani
tivu hakosekani kwenye kamati misibani..
atatupeleka nnchi ya ahadi
tivu g+nius atatupeleka bet tusijali..
tivu ni real mcee tumkubali..
hana leseni ila tukabidhi usukani aendeshe gari..
Random Lyrics
- smidy - good mood lyrics
- dem southernfolkz - gub'ment cheese lyrics
- the din pedals - wrinkle lyrics
- graffitiavenue - babylon lyrics
- pool - taliban lyrics
- דויד ברוזה - jeanene - david broza lyrics
- dike sabrina - ngenes tanpo riko lyrics
- marky mark and the funky bunch - i want you lyrics
- cypis - 500+ lyrics
- clavish - starter pack lyrics