ksonrap - usiwaambie lyrics
[verse: 1]
usipost maendeleo usiwape info zako matokeo/
wanataka kilasiku uwe chini yao usipande vyeo/
kuanzia gari mpaka simu unayotumia vyote viwe kimeo/
usilimeshamba usipate matunda ukose ata mazao pembejeo/
msanii usitokee kwenye kichupa usionekane kwenye kideo/
ukose mashabiki kwenye show..chaka tu chaka
wadau wakufungie tu vioo hadi soo..
ukose maokoto uact uhardcore..
masendeu migorori mamon’goo../
ukicheza mechi usifunge hata mabao usitoke nao droo/
chochote usibenefits urecord sanaa
usitoe ata hits/
uishie loco usifikе international
kwenye platforms sio spotify wala nеtflix/
usisolve chochote usi fix/
[verse: 2]
waambie mipango yako mishemishe wakuharibie/
wanataka wachukue nyota yako wasafirie/
uwape sana pombe bar wakusifie/
uchelewe kwenye interview ukose kazi wakukimbie/ uadui vita nivita tu/hawapendi
hawajui hii dunia tunapita tu/ du
wakutoe kwenye trending wajiulize ulifikaje juu/
haiwatoshi kukufunga kwenye gereza/
wanachokita wakufunge kama pipi kwenye jeneza/
ulingoni upigwe knockout upcut ya kidevu
roho zitawauma ukipost,unajenga
ukikonda ndo wanapenda/
usiende vocational visiwani comoro shelisheli
unguja wala pemba/
ulale sero usipate ata dhamana wakitishe/
watakachosema usibishe/
ndoa yako ivunjike, uibike/
biashara zote ufilisike/
udhalilike ukose nguvu, jogoo asiwike/
usifahamike, usiheshimike/
sirecord na majani wala duke/
wanataka wakunyonye kama kupe/
kapeto kama sunche/
usiwe na madini kama puche/
ukidai maboss wasik+mbuke/
hapo ulipo muda wwote tu kinuke/
Random Lyrics
- teefromvsg - out the roof lyrics
- cityboymoe - royal rumble lyrics
- gaby de la rosa - quédate cerca lyrics
- nfg duck - fly away lyrics
- cupsize - чёрная посуда (black dishes)* lyrics
- claudio botelho - o poder de obedecer lyrics
- aewy bye - забуду (i'll forget) lyrics
- code orange - the mask of sanity slips lyrics
- numa invictus - trvpgirldallas pt. 1 lyrics
- wicked phat - breathe again lyrics