kusah - matamu lyrics
[intro]
mapenzi matamu
kupendana nawe
ni kusam tena
mapenzi matamu
kupendana nawewe
[verse 1]
hivi ushawahi pendwa
kila unachotaka unafanyiwa
hivi ushawahi penda aah
kila unachotaka unamfanyia
yani ukawa connected na
yeye, ukimuwaza anakupigia
hata ukiwa mbali na yeye
sauti yake inajirudia
mkisikia nimedata hummm
mjue kanipa ubwata humm
msione nimedata aaah
kuna utamu naupata
[pre chorus]
my baby, baby
this is how i’m felling for you, ooh
darling this is how
i’m felling for you
[chorus]
mapenzi matamu
kupendana nawe
mapenzi matamu
kupendana nawewe
[verse 2]
inyeshe mvua ama ipige radi
tutaishinda vita ya jihad
umuhimu wako kw+ngu kama maji
nikikukosa kwisha nimedead
na kama nikusoma kitabu
ukurasa wa katikati
yani nimepata jawabu nimepata bahati
tena ni bahati ya mtende
chini ya mn+z+ nimeokota embе
nitafanya vyote sitokuacha uende
ninacho omba acha nikupеnde
[pre chorus]
my baby, baby
this is how i’m felling for you, ooh
darling this is how
i’m felling for you
[chorus]
mapenzi matamu
kupendana nawe
mapenzi matamu
kupendana nawewe
Random Lyrics
- luan santana - pra você lembrar de mim (ao vivo) lyrics
- rəssam - #13 lyrics
- grace barasa - pretty as vee lyrics
- yourtwizzy - /маньяконлайн (/maniaconline) lyrics
- kolyatemp - порог (potential) lyrics
- nössö nova - pitäis ja pitäis lyrics
- babasónicos - cocos lyrics
- the red moon macabre - wrought iron gates lyrics
- kynlary - catch up lilmon lyrics
- helena vondráčková - always something there to remind me lyrics