kusah - umekonda lyrics
[intro]
yammi
na kusah tena
[verse 1 : kusah]
ye hajui hanishughulishi
nimeshamsahau kitambo ni matapishi
na angejua me hanitishi
huku nishapata chimbo na tunaishi
oya nyie yangenizika mapenzi
ningechelewa lingeniua lile lishenzi
[chorus : kusah & nandy]
sijui mapenzi au ndio diet
maana ukibonge nanenepa na sijui
sijui mapenzi au ndio diet
maana umekonda au unaumwa na hatujui
[verse 2 : yammi]
mekuwaza kurudiana nawe huko nishavukaga
maana wote na mpenzi w+ngu hiyo habari hakunaga
nilipo nalishwa vizuri vi piza piza baga
ungeniva na kwashakoo kunilisha madagaa
kwanza sijui nakvonaje
nahisi huruma yangu ndio iloniponza
hata kuwa na wewe najiona bwege
maana tumeachana hakuna nilichopunguza
[chorus : kusah & nandy]
sijui mapenzi au ndio diet
maana ukibonge nanenepa na sijui
sijui mapenzi au ndio diet
maana umekonda au unaumwa na hatujui
Random Lyrics
- morra4tien - hoofdpijn 2.0 lyrics
- sinn6r - chip on my shoulder lyrics
- miguel araújo - aprendi por mim lyrics
- icepop - even if lyrics
- mick stevens - it looks like rain lyrics
- bill waves - illumination lyrics
- mc lirika - god loves me lyrics
- rosehwd - screwing around (skit) lyrics
- wiro29 - big city blues (remix) lyrics
- ñengo flow - se formo el bayu (hip hop version) lyrics