azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kushman - nawacha pombe (remix) lyrics

Loading...

[intro: kushman]
nawacha pombe till’ further notice
yaani, nawacha pombe adi budangu anotice
ukinipata nakata maji, afande nishike na uniekele bangi
dr+dr+dr+dr+dr+dr+dr+dr+dr+dreaming
murda

[verse 1: ssaru]
nawacha pombe bado sitaki kudedi
nimepoteza figo, maini na mashemeji
pombe ilifanya niwe peng kienyeji
nilikunyw+nga gin, kanilalishia jegi
pombe siipendi, naiweka pending
mukuchu, hii weekend no spending
yaani sitaki hizo party mi si attending
na ndani sina tackin, tafuta number za pedi
hutu tupombe twachochea za githurai
tupombe tu tuwili unatekwa na maasai, aai
by chance, utakuta ni wa rongai
na umepeana pie kwa lijitu halifai
ssaru
[pre+chorus: kushman]
nawacha pombe till’ further notice
yaani, nawacha pombe adi budangu anotice
ukinipata nakata maji, afande nishike na uniekele bangi

[chorus: kushman]
aai, nawacha pombe, nawacha pombe
nawacha pombe, aki pombe nitak+miss
aai, nawacha pombe, nawacha pombe
nawacha pombe

[verse 2: kushman & ssaru]
kushman pedi wa magenge
sina nyege za pombe anymore
kuanzia monday mi na pombe is a no
ata pombe ikuje na thong siikatii
ata ikuje bila? siitaki
pombe imefanya si enjoy salo’ yangu
saa hii nina watoto wengi kuliko budangu
ni ma mimba tu, nikishalewa sifikiri ni ma mimba tu
wife atanihepa nisipo wacha pombe
nilipita choo, nikakojoa kwa kikombe
ujinga ya pombe imenifanya kibogoyo
nilipigwa kidevu ju ya pombe ya uchoyo
aah, pombe na gari, ni ka stima na maji
nilipita na kuku na mambuzi za jirani
pombe inaweza kukudanganya
imagine ilifanya nikate ka kimama, ayy
[chorus: kushman]
aai, nawacha pombe, nawacha pombe
nawacha pombe, aki pombe nitak+miss
aai, nawacha pombe, nawacha pombe
nawacha pombe

[verse 3: benzema & kushman]
yeah, skiza
nawacha pombe till ‘further notice (get out of here men)
nawacha pombe mother angu anotice
mzinga moja napata cirrhosis
sijakula nyama natapika ostrich
ushawai cheza play station mlevi?
christiano anakaa messi (aje)
ukona pad? lakini si ya period
ukilewa kila dem wife material
sasa, tumelewa
sana? sio sana
alehandro nawacha pombe
tll’, further notice, ayy

[pre+chorus: kushman]
nawacha pombe till further notice
yaani, nawacha pombe adi budangu anotice
ukinipata nakata maji, afande nishike na uniekele bangi
[chorus: kushman]
aai, nawacha pombe, nawacha pombe
nawacha pombe, aki pombe nitak+miss
aai, nawacha pombe, nawacha pombe
nawacha pombe, aki pombe nitak+miss



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...