kassim mganga – dalilah lyrics
mapenzi yoyo, yanamuumiza dalilah
hali akashiba anawaza, yanamuumiza dalilah
mapenzi yoyo, yanamuumiza dalilah
halali anakesha akiwaza, yanamuumiza dalilah
dalilah naimba huruma, na wewe ujionee huruma
funga hilo moyoni mwako, ukipenda penda kivyako vyako
chunga isije ikala kwako, ukipendwa ficha mpenzi wako
ona mapenzi yanavyokuliza, ona mawazo yanak-maliza dalilah
ukachora tatoo ya kopa kati na jina lake, penzini ukajitosa
ukaifuta tatoo, uuguze donda ubaki na kovu lake
moyoni vunja mfupa,
ungefanya choyo, ungedumu nae
mapenzi yoyo, yanamuumiza dalilah
hali akashiba anawaza, yanamuumiza dalilah
mapenzi yoyo, yanamuumiza dalilah
halali anakesha akiwaza, yanamuumiza dalilah
waalika best zako, waje dinner nyumbani kwako
kijiwe sebuleni kwako, story na sifa za baby wako
mwala kwa muwinda mapenzi akayashindwa, kapigiwa akacheza
usiku anajiiba, mapenzi kayavunja na kibwebwe kajifunga
ukachora tatoo ya kopa kati na jina lake, penzini ukajitosa
ukaifuta tatoo, uuguze donda ubaki na kovu lake
moyoni vunja mfupa,
ungefanya choyo, ungedumu nae
mapenzi yoyo, yanamuumiza dalilah
hali akashiba anawaza, yanamuumiza dalilah
mapenzi yoyo, yanamuumiza dalilah
halali anakesha akiwaza, yanamuumiza dalilah
Random Lyrics
- chris howland feat. chris hird – simply vanity lyrics
- sharif – lo que nunca ha sido mío lyrics
- bullet bane – mafumeira (ao vivo) lyrics
- kang yu bin – like a rain, like a music lyrics
- devarn – the grind lyrics
- niki – chilly lyrics
- raf camora – turbo lyrics
- 洪辰 – 不生氣了,好嗎 lyrics
- ritt momney – young adult lyrics
- shadow of titan – no getting out of here lyrics